James Sinclair: A Friend or Foe?

BARRICK GOLD CORP

Updates Project Pipeline and Demonstrates Valuation Opportunity

Barrick Gold Corporation announced today it has begun to harvest opportunities from a project pipeline unparalleled in the gold mining industry. The Company considerably advanced technical reviews and updated the investment community on its extensive pipeline of gold projects, advanced exploration properties, as well as additional joint venture projects for platinum group metals and nickel.

"The combination of our quality assets, depth of our project pipeline and exploration portfolio, demonstrated development expertise and financial strength positions Barrick to deliver significant value in the years ahead. At a time when discoveries are scarce and new projects rare within the gold industry, no other gold company has a comparable pipeline," said Greg Wilkins, President and CEO, at a special presentation at the Company's 'Investor Day' in Toronto.

Barrick has a balanced geo-political risk profile and a development strategy focused on generating value in highly prospective regions. Many of the Company's projects are located near existing operations where they can benefit from infrastructure and synergies related to processing, personnel and community development programs.

Barrick's new projects will build upon the new generation of mines that the Company successfully brought into production in the past two years (Tulawaka, Tanzania, Q1 2005; Lagunas Norte, Peru, Q2 2005; Veladero, Argentina, Q3 2005; and Cowal, Australia, Q2 2006). The Company announced on February 20, 2007, that gold was poured at its newest mine, Ruby Hill in Nevada. It is expected to produce about 120,000 ounces in 2007 at total cash costs in the range of $240 to $250 per ounce for 2007. Construction cost at Ruby Hill was below its estimate.

Barrick's new pipeline of projects includes the following:

Buzwagi, Tanzania

- A 10-Year-Plus Producer Close to Infrastructure (100% owned)

Buzwagi has proven and probable reserves of 2.64 million ounces of gold and contains 118 million pounds of copper within the gold reserves;(3) the estimated mine life is 10 years. Its close proximity to Barrick's Bulyanhulu and Tulawaka operations brings significant synergies, including shared infrastructure, personnel, training and equipment.

Buzwagi's average annual production is expected to be 240,000-250,000 ounces of gold at total cash costs of $280-290 per ounce of gold. Capital costs are expected to be approximately $400 million (excluding capitalized interest).

- In 2006, Barrick completed a positive feasibility study for Buzwagi, along with 40 per cent of the project's detailed engineering plans. It conducted 200,000 meters of exploration drilling on the property, and identified further targets.

- Barrick announced today that the Mineral Development Agreement was recently approved and expects approval from the Republic of Tanzania of the project's Environmental Impact Assessment shortly. All outstanding permits, along with detailed engineering are expected to be completed by mid-2007.

Construction is targeted to occur over approximately two years.

Kabanga, Tanzania

- A World Class Nickel Sulphide Deposit with High Tonnage and Grade (Barrick 50%; Xstrata 50%)

Kabanga is located in northwest Tanzania and is a world class nickel sulfide deposit - reminiscent of Voisey's Bay. Updated estimates of measured and indicated resources stand at 9.7 million tonnes of indicated resources at a nickel grade of 2.37 per cent and 36.3 million tonnes of inferred resources at a nickel equivalent grade of 2.8 per cent (100% basis.)(9)

Barrick acquired the Kabanga nickel exploration property with its acquisition of Sutton Resources in 1999. It has since proved up a significant mineral resource and through an equal joint venture partnership (Falconbridge and now Xstrata as the operator) has further increased the value of this deposit with a compelling combination of high tonnage and very good grade. Xstrata recently committed $95 million to advance the development engineering through completion of the project's feasibility study. A full feasibility study is expected to be
completed by the latter part of 2008.

(For further information on 2006 results or Investor Day slide presentation, please go to: www.barrick.com.)
 
Hawa jamaa wachimbaji (soma waibaji) madini wanaodai wamepata hasara mbona ripoti zao zinaonyesha kuwa wamepata faida kubwa zaidi ya walivyotarajia??

Angalia hapa kwa mfano http://www.angloamerican.co.uk/stati... 02 07.pdf

Hata Bariki kwenye wavuti yao wanasema wamepata "record earnings". Sasa inakuwaje bunge letu na kina Bw Mapesa wanaambiwa kuwa jamaa wamekula hasara?
 
Mwanagenzi,
Hawa Barrick waongo sana. All Tanzania has to do is follow their newsletters to their investors. You don't need to spend money to hire investigators. Soma newsletters zao then act. But then the guy claims to be a personal friend of the President.
 
MKJJ!
Vipi swala la Hisa limefikia wapi?
Je unauelewa kuhusu hili au kuna yeyote mwenye uelewa kuhusu Biashara ya kwenye mtandao ya aina hii?Bofya
http://www.type-at-home.com/half-priced-access.php?id=7259_12_3_57__

Hao ni wezi usipoteze pesa yako uliyoifanyia kazi. Kama kweli ingekuwa hivyo watu wote duniani wangekuwa millionares. Wataanza kukuomba $ 10 halafu $20 and on and on mpaka ukijua wanakuingiza mjini utaachana nao.

Hakuna mtu anayeweza kukupa pesa namna hiyo. ndio wizi wa kisasa huo.
 
Hao ni wezi usipoteze pesa yako uliyoifanyia kazi. Kama kweli ingekuwa hivyo watu wote duniani wangekuwa millionares. Wataanza kukuomba $ 10 halafu $20 and on and on mpaka ukijua wanakuingiza mjini utaachana nao. Hakuna mtu anayeweza kukupa pesa namna hiyo. ndio wizi wa kisasa huo.

Mimi nilitizama kwa mtazamo huo huo kwani mwaka wa tano sasa nimekuwa nikipata vipeperushi vya Internet marketing or business.sasa leo sijui nini kilisukuma nijaribu kusikia na maoni ya wengine kuhusu hili!
 
Jamani wale mlionipa contacts zenu. I have very good news, na natumaini bado mnakusanya nguvu. Mungu akipenda nitakuwa NY hivi karibuni katika kufuatilia mambo haya ya uwekezaji.

Ila habari za uhakika ni kuwa kuna nafasi kubwa ya kununua hisa hivi karibuni kutoka kampuni kubwa TZ ambaye itafanya IPO! nitawapa details zaidi kwenye emails zenu thanks!
 
MKJJ!
Vipi swala la Hisa limefikia wapi?
Je unauelewa kuhusu hili au kuna yeyote mwenye uelewa kuhusu Biashara ya kwenye mtandao ya aina hii?Bofya
http://www.type-at-home.com/half-priced-access.php?id=7259_12_3_57__

Usiingie kwenye mtego huo!! Nilipokuwa Chuoni nikiwa bado mgeni hapa kijijini basi nikaingia mkenge.... thank God mshauri wangu wa wanafunzi wa Kimataifa alipatiwa habari na kunipa ushauri haraka kwani nilitumia anuani ya Chuo!

Baadaye nilifuatialia na kugundua anayetajirika ni yule wa kwanza. Hapa Marekani wanaita "MMM" - Multi Level Marketing. Mfano wa mtindo kama huo ni mtindo wa "Kibati" ambapo watu mnamchangia mtu mmoja kiasi fulani kwa zamu hadi mlio kwenye kundi mnamaliza mzunguko. Tatizo la MMM za kimarekani ni kuwa mnamchangia mtu mmoja halafu yeye anatoweka wakati nyinyi mnabakia mkisubiri kuchangiwa.

The most common American scams ni ile ya "Kustuff envelope at home" na ile ya "assemble products at home"!
 
Usiingie kwenye mtego huo!! Nilipokuwa Chuoni nikiwa bado mgeni hapa kijijini basi nikaingia mkenge.... thank God mshauri wangu wa wanafunzi wa Kimataifa alipatiwa habari na kunipa ushauri haraka kwani nilitumia anuani ya Chuo!! Baadaye nilifuatialia na kugundua anayetajirika ni yule wa kwanza. Hapa Marekani wanaita "MMM" - Multi Level Marketing. Mfano wa mtindo kama huo ni mtindo wa "Kibati" ambapo watu mnamchangia mtu mmoja kiasi fulani kwa zamu hadi mlio kwenye kundi mnamaliza mzunguko. Tatizo la MMM za kimarekani ni kuwa mnamchangia mtu mmoja halafu yeye anatoweka wakati nyinyi mnabakia mkisubiri kuchangiwa.

The most common American scams ni ile ya "Kustuff envelope at home" na ile ya "assemble products at home"!

Usiwe na wasiwasi hili lilikuwa katika kutafuta maoni kwani mimi miaka mingi nimekuwa nikipata email ,vipeperushi na barua za aina hii lakini sijawahi hata siku moja kushawishika kufanya Biashara ya aina hiyo kwani huwa ninajiuliza hivi umma wote wa marekani wanaosweat hawaoni mafedha haya ya bure bure?
 
Dominion Petroleum Acquires Exploration License Offshore Tanzania

Dominion Petroleum Friday, March 30, 2007

Dominion Petroleum has signed a Production Sharing Agreement with the Tanzanian Petroleum Development Corporation and the government of the United Republic of Tanzania.

The new PSA is for Exploration Block 7, which is located in the Indian Ocean to the east of Tanzania's capital Dar-Es-Salaam, covering a total area of approximately 8,500 square kilometers on the continental slope. The depth of water ranges from approximately 100 to more than 3,000 meters.

for Block 7 was in the face of fierce competition that included some of the largest oil companies in the world. Other companies with interests in East African offshore blocks include Petrobras, Shell, Anadarko, Norsk Hydro, China National Oil Company (CNOC) and Statoil.

The terms of Dominion's PSA are, in summary, as follows:

The initial exploration period is 4 years;
During the initial period, Dominion has committed to spend a total of at least US$8.75 million on:

--Geological and geophysical surveys (US$1 million);
--2-D seismic over 4,000 kilometers (US$4 million); and
--3-D seismic over 500 square kilometers (US$3.75 million)

The terms of the PSA also require the drilling of a well not later than the second 4 year period.

An initial analysis of the available seismic data already conducted by Dominion Petroleum leads it to believe that there are encouraging prospects in the shallower part of Block 7, at drillable depth.

Mike Garland, Chief Executive of Dominion Petroleum, commented:

"We are very excited about this award. Block 7 is an important asset for Dominion and adds significantly to our extensive portfolio of exploration assets in Tanzania. Securing this acreage puts us alongside some of the largest and best known oil companies in the world."
 
Yakipatikana na kuanza Uzalishaji ,Tutafaidika nayo vipi?
 
Tukitumia vigezo vya madini tuliyonayo na ambayo yanachimbwa toka ardhini mwetu ,Je Tutafaidikaje?Au ndiyo yale yale 1.1%?

sadly enough! kuna sehemu nimeandika kuhusu....kula tusichozalisha na kuzalisha tusichokula....

ni hivi,kama wewe siku zote unazalisha usichokula[mbaya zaidi kwa kumtumia mwenzio anayekula]ni dhahiri kwamba hautafaidika nacho kama yeye...na hii yote ni kwasababu tu wachanga kiuchumi na hatuna nafasi pana ya ku-negotiate on this kama venezuela[kwa maana ya kuwa the biggest source of gas or oil for that case]

ukiangalia suala la madini ndio yale yale....haya tunayatumia?thamani yake tunaijua wazalishaji au mtumiaji ndio ajuaye thamani halisi?

hivi unajua kuwa thamani ya almasi aijuaye hasa ni de beers & co.?kwamba wao huhodhi almasi ili isiwe nyingi kwenye soko na kushuka bei?unajua kuwa thamani ya sasa ya almasi ni ya kutengenezwa na kwamba kiasi cha almasi kilichopo duniani kama kingechimbwa huria bila kuwa-restricted na de beers & co. thamani ya sasa ya almasi ingeshuka vibaya?kiufupi almasi si rare kama ilivyokuwa ikisemwa!

sasa hii ndio siri ya mlaji ambayo wakati mwingine mzalishaji haijui.
 
Dunia ya Leo Hakuna hata kimoja kisichojulikana vyote vinajulikana na ndiyo maana wewe umeweza hata kumjua DE beers and company,Kwa mfano wako hapo juu unataka niamini kwamba matatizo yetu ya kupewa asilimia 1.1% kwenye mkataba yametokana na hali yetu ya kuwa masikini? Hili hata ukiniamsha usingizini siwezi kukubaliana nalo.

Angalia Botswana, Namibia Hivi hawa wapo kwenye kundi la G8? Kwanini wao wanafaidika zaidi na mikataba yao kulikoni sisi?

Angalia Mikataba ya Richmond, IPTL et al. Haya mazagazaga nayo yanatokana na umasikini wetu au kuzalisha tusichokula na kula tusichokizalisha?
I think, Its beyond that....................................!
 
Dunia ya Leo Hakuna hata kimoja kisichojulikana vyote vinajulikana na ndiyo maana wewe umeweza hata kumjua DE beers and company,Kwa mfano wako hapo juu unataka niamini kwamba matatizo yetu ya kupewa asilimia 1.1% kwenye mkataba yametokana na hali yetu ya kuwa masikini?Hili hata ukiniamsha usingizini siwezi kukubaliana nalo.Angalia Botswana,Namibia Hivi hawa wapo kwenye kundi la G8?Kwanini wao wanafaidika zaidi na mikataba yao kulikoni sisi?Angalia Mikataba ya Richmond,IPTL et al. Haya mazagazaga nayo yanatokana na umasikini wetu au kuzalisha tusichokula na kula tusichokizalisha?
I think, Its beyond that....................................!

beyond that ni historia ya uchumi wako,muda gani umekuwa in business[kuchimba madini privately sio publicly]uongozi bora,skilled labour,na kadha kwa kadha!

majibu yake si unayo...by now!
 
beyond that ni historia ya uchumi wako,muda gani umekuwa in business[kuchimba madini privately sio publicly]uongozi bora,skilled labour,na kadha kwa kadha!

majibu yake si unayo...by now!
hayo yote uliyoyanisha hapo juu yasingeweza kutufanya tuingizwe mkenge namna tulivyoingizwa ,tatizo kubwa ni kukosa uzalendo na tamaa ya kujinufaisha kupitia dhamana tunazowapa ili wafanye maamuzi kwa ajili yetu wote ,Lakini wao hufanya maamuzi kwa kujifikiria wao kwanza na kutubebesha tuliowapa dhamana mzigo ambao matoke yake...................Ni haya yanayotusibu leo hii!
 
hayo unayoyasema ndio...kadhaa wa kadhaa! yako mengi yanayoweza semwa,ila itakuwa tathimini binafsi,pengine sababu ni kubwa zaidi....
 
Back
Top Bottom