James obedi na bonglob.com

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,717
Bonglob - Login, Signup

Nina mashaka na huu mtandao saaana tu sijui kwa nini...
jamaa mwenyewe anaipigia promotion kila kukicha facebook anaitwa james obedi ila kiukweli NINA MASHAKA NAYO kila siku zinavyozidi kwenda ndivyo mashaka yanaongezeka ngoja tuone
 
mashaka yangu ni kuwa hii inaonekana ni mtandao wa kuingiza hela kwamba unaweza kuutumia na kukuingizia kipato
yale yale ya working online program
sasa mimi naogopa sana maana watanzania wengi wanajiandikisha kwa huu mtandao wakitegemea kuwa watatengeneza kipato kirahisi

coz jamaa style yake anakwamia pata kazi kwa njia rahisi kwa kujiunga na huo mtandao
 
Huku tunaunganishwa woooote tinaopenda ku socialize kitanzania zaidi www.myclubtz.com na hakuna mbwembwe ! Kazi kwako
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom