James milya amehama ccm.

Arusha Mambo

Senior Member
Jan 27, 2011
174
150
Tunathibitisha kuwa james milya amehama ccm na anataka kuhamia chadema.
Muda si mrefu tutawawekea sauti yake, mara baada ya kikao cha bunge kumalizika saa saba mchana.
Kesho kutakuwa na tukio kubwa kuliko hili la leo.
Arusha mambo
 
tuna imani haji kuchafua chama manake ccm wanatumia umafia wa kizamani sana
 
hawa huwa hawaaminiki. wanakuwa na kadi mbili moja ya magamba wenzie na nyingine ya ukombozi. halafu wanaanza kuvuruga chama kwa unafiki na uongo wao
 
hawa huwa hawaaminiki. wanakuwa na kadi mbili moja ya magamba wenzie na nyingine ya ukombozi. halafu wanaanza kuvuruga chama kwa unafiki na uongo wao

kuna kile chama kipya cha cuf iliyomeguka nafikiri kitamfaa maana cdm hatupokei makapi tulikosea kwa shibuda kosa hatulirudii tena. see you there James
 
Kwa taarifa za uhakika ni kwamba anajiandaa kugombea ubunge jimbo la Simanjiro kwa tiketi ya CHADEMA.
 
Jamani kwani Simanjiro ni jimbo huru? Kwani kule hakuna mbunge? Naomba mnijuze samahani!
 
Back
Top Bottom