James Millya Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa Arusha ajivua GAMBA akimbilia Chadema

Hapo CCM wanaandaa mpango wa kuicukua Arusha mjini.

huyu jamaa ni kama akina SHIBUDA na wenzake,wakati mwingine CDM wawe na kasumba ya kuwa na uvumilivu wa kuwasoma watu,hii tabia ya kukubali matakwa ya kila mwansiaasa.mtayavua mabua
 
huyu jamaa inavyoelekea na chama kakibwaga chini si unajua tena ubunge wa EAC alipigwa chini bana... sas yaezekana ikawa ndo kujitutumua....

halafu uyu jamaa inasemekana yuko kwenye kambi ya "FISADI PAPA" anayetegemea kuwaniawania urais 2015
 
Source radio 5 arusha!

Anaongea kwa hasira sana akisema CCM siyo baba wala mama yake! Anadai chama kinatumia fedha za walipa kodi kuzunguka nchi nzima kumchafua.
Bado sielewi! Nani kasema kuwa Millya kahamia DCM?
 
Ni mtu makini anayejiamini sana , , ni kiongozi mzuri sana ,elimu nzuri ashirikiane na wapiganaji wengine kukomboa Taifa hasa maeneo ya umasaini ni matumaini yangu wengi watamfuata James Milya ni uamuzi wa wakati . hongera milya ulikuwa umepotea sasa umerudi nyumbani shirikiana na Makamanda wengine kuleta ukombozi

Huyu "Lomayani" namfahamu kiasi fulani, wakati mwingine huwa ni "controversial" sana. Nilifahamiana nae wakati akisoma Tumaini University Iringa, akiwa Rais wa serikali ya wanafunzi. Nakumbuka ndiye raisi pekee wa taasisi ya elimu ya juu aliyetoa tamko la kuunga mkono muswada wa sheria ya kuanzishwa kwa bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu. Kitu ambacho kilizua sintofahamu miongoni mwa viongozi wa serikali za wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu nchini kipindi hicho. Baadae tulipokutana Zanzibar tukaweka mambo sawa na kuwa na sauti moja, na ndio ukawa mwanzo wa kuundwa kwa TAHLISO.

Ni muhimu sana wakati huu tunapomkaribisha, vile vile tukachukua tahadhari kubwa sana kwakuwa huyu mkulu ni mfuasi sugu wa Lowahasa, kwahiyo asije akatumika kutuhujumu huko mbele ya safari. Wakati huu tulionao sio wakati wa kumuamini kila anayejiunga na chadema moja kwa moja, though si maanishi kwamba Ole Millya ametumwa, ni suala la kuchukua tahadhari tu.
 
Dogo Millya, naona anataka kuchukuwa nafasi ya Lema, kweli kwenye siasa hakuna adui wa kudumu wala rafiki wakudumu.

Huyu dogo wakati yupo CCM wana Chadema walikuwa wanasema kaishia kidato cha pili leo hii amekuwa shujaa.
 
I respect James a lot, ana uwezo wa kujieleza nk.

Ila naomba asije akawa amejoin CHADEMA ili agombee ubunge wa arusha mjini, kwani hicho kitakua ni kipandikizi tu!!!
 
acha kudangnya mchana kweupe.mbona slaa alihoji kwa nini lowassa atoe maji arumeru na kupeleka monduli wakati watu wa arumeru hawajasambaziwa maji.hiyo ni baada ya lowassa kunadi kuwa endapo wanaarumeru wangemchagua sioi maji yangetiririka kama mvua.


Neno fisadi limeondoka kwenye kinywa cha DR SLAA dhidi ya Lowassa ndilo lilikuwa swali!!!!!!!! anauliza kulikoni? mara wafuasi wake kama Millya wanaibukia chadema.

CCM wanaogapa nini kumnyang'anya uanachama Lowassa ilikupunguza nguvu yake?
 
karibu sana CDM ila chadema inatakiwa kuwa makini sana na huyu mtu usikute ni mpango wa magamba na jimbo la Arusha mjini ,ikaja kuwa mambo ya shibuda.Arusha ukmbozi uekamilika bado lindi na mtwara sasa.peoplesssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssss!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
nafikiri hivyo pia, najikuta sina imani sana na huyu raia, EL ana rangi nyingi sana, possible kamtuma mtu wa kumuandalia makao.

Huyu El tunamkuza tu! Kijana apokelewe kama mwanachama wa kawaida tu.
Bado nina imani na Mwigamba, atamtuliza tu....
Hamna cha El wala bibi yake El, tumempiga alipotuletea Batilda, tukampiga Arumeru alipotuletea Mkwe wake!
Natangaza simuogopi EL , sababu hamna cha kufanya aogopwe.
Mtu anionyeshe nilipokosea!
 
watch out chadema!
he is most likely to be a plant. a plant to weaken your 2015 mission.

so....you must do a comprehensive due diligence before you accept this young man onboard.
 
Hiki chama cha mauaji kinazidi kukimbiwa na wafuasi wake,karibu sana James Olle Milya CHADEMA.Kwa kuja kwako jimbo la Arusha mjini CCM wataendelea kuwa wapinzani maana wanazidi kukimbiwa.Waliobaki ni akina Mary Chitanda wanaoganga njaa.
 
Akunyimae mbaazi.............................. Haya ndiyo magamba ambayo ccm tunataka yaondoke ili tubaki na amani!!
 
labda lowassa kaamua kutanguliza vijana wake kupima upepo baadaye yeye ndio atangaze rasmi.!
 
taratibu wanaondoka. Yetu macho watamalizana wenyewe ikifika 2015 ni utelezi tuu. Tunazama ndani ya nyumba. Dawa ni kumwaga sera na ukweli juu ya ubovu wa magamba.
 
Huyu El tunamkuza tu! Kijana apokelewe kama mwanachama wa kawaida tu.
Bado nina imani na Mwigamba, atamtuliza tu....
Hamna cha El wala bibi yake El, tumempiga alipotuletea Batilda, tukampiga Arumeru alipotuletea Mkwe wake!
Natangaza simuogopi EL , sababu hamna cha kufanya aogopwe.
Mtu anionyeshe nilipokosea!

Unataka kuthibitisha kwamba Millya kakimbia vipigo hivyo?

Kagungua hana mwisho mzuri CCM au?
 
EL kwishneeyi, karibu CDM lakini uko tayari kuwajibika na kuwajibishwa? bado kidogo baba yetu Lowassa tutamsikia kaungana na mwanae.
 
Back
Top Bottom