James Millya Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa Arusha ajivua GAMBA akimbilia Chadema

Mwenyekiti James Ole Milya amejiengua CCM.
Kwa hasira sana akisema CCM siyo baba wala mama yake! Anasema chama kinatumia fedha za walipa kodi kuzunguka nchi nzima kumchafua.

Kwa mara ya mwisho huyu jamaa kamwagwa kwenye kinyang'anyilo cha ubunge EAC kwenye ngazi ya chini kabisa ya kamati kuu ya chama (CCM) inaezekana ikawa ndo sababu kuu ya msingi.. laini mimi na wewe hatuji

kwa habari zaidi keep in touch with JF



Source radio 5 arusha!

 
Ni mtu makini anayejiamini sana , , ni kiongozi mzuri sana ,elimu nzuri ashirikiane na wapiganaji wengine kukomboa Taifa hasa maeneo ya umasaini ni matumaini yangu wengi watamfuata James Milya ni uamuzi wa wakati . hongera milya ulikuwa umepotea sasa umerudi nyumbani shirikiana na Makamanda wengine kuleta ukombozi
Kweli sasa nimeamini kuwa huyu kijana keshatuwa rasimi kwenye meli ya ukombozi....maana mtu kama Kilewo,Crashwize
na Nanyaro Ephata huwa naamini sana habari zao,hasa zinazotoka maeneo ya kasikazini
 
Ili lipate timia andiko VUANI MAGAMBA YENU NA MNIFUATE
Dogo asije akawa anaunyemelea ubunge wa Arusha baada ya Lema kupigwa chini.
He has to be on probation for 5 years studying his move


Hadi sasa Millya anahesabika kama mamluki kutoka CCM endapo chadema watathubutu kumpa faraja ya ubunge Arusha mjini wataanguka vibaya ni mapema sana kumpa uongozi.
 
Tena apelekwe Monduli kabisa ndio iwe point yake ya harakati afu 2015 tutapima matokeo yake!

Ili lipate timia andiko VUANI MAGAMBA YENU NA MNIFUATE
Dogo asije akawa anaunyemelea ubunge wa Arusha baada ya Lema kupigwa chini.
He has to be on probation for 5 years studying his move
 
CDM wawe makini sana na hawa jamaa. Isije ikawa ndo mkakati wao wa kujua siri za chama ili kukiangamiza ifikapo 2015.
 
Zumbe, huyu dawa yake ni rahisi tu tumpeleke Monduli akaimalishe CDM kule mpaka 2015!
Makamanda wa kule watatupa rangi zake halisi
nafikiri hivyo pia, najikuta sina imani sana na huyu raia, EL ana rangi nyingi sana, possible kamtuma mtu wa kumuandalia makao.
 
Mwenyekiti James Ole Milya amejiengua CCM.
Kwa hasira sana akisema CCM siyo baba wala mama yake! Anasema chama kinatumia fedha za walipa kodi kuzunguka nchi nzima kumchafua.
kwa habari zaidi keep in touch with JF

Source radio 5 arusha!


Mkuu una maana kajitoa kuwa mwanachama wa ccm au kajitoa Uenyekiti Uvccm? fafanua vizuri
 
Wapi Ritz,Rejeo,Kimbunga na Waberoya? Jamani nataka kusikia chochote kutoka kwenu!
Kuchagua thread za kuchangia siyo vizuri....toeni coment zenu kwenye thread hii pia.
 
Je kambi ya Lowassa ilikwisha ondolewa kwenye orodha ya Mafisadi wa mwembeyanga?

Chadema hawakuthubutu kumtupia neno Lowassa kule Arumeru jamani hapo kuna siri kuu........au ndiye atakuwa mgombea wao 2015?

acha kudangnya mchana kweupe.mbona slaa alihoji kwa nini lowassa atoe maji arumeru na kupeleka monduli wakati watu wa arumeru hawajasambaziwa maji.hiyo ni baada ya lowassa kunadi kuwa endapo wanaarumeru wangemchagua sioi maji yangetiririka kama mvua.
 
Source radio 5 arusha!

Anaongea kwa hasira sana akisema CCM siyo baba wala mama yake! Anadai chama kinatumia fedha za walipa kodi kuzunguka nchi nzima kumchafua.


Mimi namkaribisha kwa mikono 7, maana huyu jamaa ni kichwa na kwenye magamba kulikuwa sio kwake. James karibu home mshtue na January Makamba.... tunataka vijana wenye akili.

People's Power....:smile-big::smile-big:
 
Back
Top Bottom