Huyu jamaa nasikia ni bwabwa wenye data mwageni kuthibitisha!
- Kumbe NCCR wapo mpaka Zanzibar, saafi sana maana najua wenzetu ambao hawajafika huko sijui wanasubiri nini? Mbatia kumbe naye bado yupo I mean siasa za bongo bana hawasikiki kabisa ila wanakusanya Ruzuku tu za hela zetu walipa kodi!
William @...NYC,USA: Le BAHARIA!
Huu unaojadiliwa hapa ni ushu.......zi mtupu.
MBATIA is among those fewpatriotic opposition leaders including TUNDU LISU,Z.Z KABWE and PROF BAREGU.
Tatizo la chademaz ni upeo mdogo sana wa kutofautisha maslahi ya chama na maslahi ya taifa.