Elections 2010 James Mbatia apata shida kupiga kura Kawe

Hatimae ameweza kupiga kura baada ya kuletewa makaratasi yake kutoka ofisi za Tume ya Uchaguzi.

Mbatia anasema ametumia nafasi yake kisiasa kuweza kuwasiliana na NEC moja kwa moja.

Bahati mbaya ni kwamba wengine hawana nafasi hiyo, utaratibu tunaoambiwa vituoni ni kwamba kama jina lako halionekani unatakiwa utume ujumbe wa simu NEC halafu usubiri kujibiwa kama unaweza kupiga kura.

Mbatia ametumia njia za mkato tunazojaribu kuzikataa katika jamii, influence peddling. Kiongozi gani huyu?

Mkuu Taso, signature yako ni noma!
 
mbatia always si mtu makini. anapenda front pages tu. tumechoka kumwona na kumsikia kila mara. ni agent wa wale wale.:A S-baby:
 
Back
Top Bottom