James K. O. Millya

Mkurabitambo

JF-Expert Member
Feb 3, 2010
230
57
huyu jamaasi kavua Gamba?iweje tena ateuliwe ukuuwa wilaya? au tuamini yale yasemayo kwamba jamaa ni kibaraka....
 
Sio majina tu ya mwisho yameingiliana. Nijuavyo mimi 'ole' sio jina linalojitegemea na hivyo haiwezi kukaa kama kifupisho cha jina. Ni kama wadachi wanavyotumia 'von' au 'van'. Kule kwetu tukitamtaja mwanamke katika ukoo tunaweka neno 'sa'.....kwa mfano kama Mbako ndio jina la ukoo, ukitaja mwanake katika ukoo huo utasema 'sa Mbako'.
 
Huyo si yule aliyeenda CDM.
Huyo alikuwa mkuu wa wilaya wa zamani, kachaguliwa tena.
 
Sio majina tu ya mwisho yameingiliana. Nijuavyo mimi 'ole' sio jina linalojitegemea na hivyo haiwezi kukaa kama kifupisho cha jina. Ni kama wadachi wanavyotumia 'von' au 'van'. Kule kwetu tukitamtaja mwanamke katika ukoo tunaweka neno 'sa'.....kwa mfano kama Mbako ndio jina la ukoo, ukitaja mwanake katika ukoo huo utasema 'sa Mbako'.

Sio kama Se Sanga, Se Mgaya, Se Ngulo, Se Mligo, Se Chengula, Se Chaula?
 
Duuuuuu!!!!!!!!!

Hii Elimu ya mila zetu Nimeipenda sana!!!!!
 
Makamanda msiwe na wasi wasi huyu james k.o. Millya ni mkuu wa wilaya wa siku nyingi wala sio kamanda james ole millya aliyevua gamba majuzi.

Angalia vizuri orodha ya ma dc wateule hili jina liko katika orodha ya ma dc wa siku nyingi waliopangiwa vituo vipya vya kazi na wala kamanda james ole millya hajawahi kuwa dc.
Ni mgongano wa majina tu.
 
Back
Top Bottom