Jameni ni umri gani unaofaa kuoa kwa mwanaume

BUMIJA

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
5,818
11,000
WanaJf ninapata utata kua ni umri gani ambao kwa mwanaume anapaswa kuoa mana me nina27 na naona nimechelewa maisha ukitegemea kwanza ndo nipo first year,naona wenzangu nimechelewa maisha,cu unajua maisha ya bongo,naomba mchango wako
 
Pale utakapojisikia tayari.

Ukishajiuliza hilo swali jua hauko tayari hata kama unagonga 50. Utakapokua tayari utakachojiuliza ni "nimuoe nani" kama hauna mtu maalumu bado au "fulani atapendeza/weza/faa kweli kuwa mke wangu?!" na sio 'je umri wangu bado?'.
 
Imetulia hiyo dear!
 
WanaJf ninapata utata kua ni umri gani ambao kwa mwanaume anapaswa kuoa mana me nina27 na naona nimechelewa maisha ukitegemea kwanza ndo nipo first year,naona wenzangu nimechelewa maisha,cu unajua maisha ya bongo,naomba mchango wako
Sio lazima kuowa, ndoa ni swala lingine kabisa tofauti na kufanya sex.
 
Kama uko teyari kwa ndo umri ulio nap sio tatizo.lakini unahitaji ushauri zaidi kabla ya kuoa
 
pale utakapojisikia tayari.

Ukishajiuliza hilo swali jua hauko tayari hata kama unagonga 50. Utakapokua tayari utakachojiuliza ni "nimuoe nani" kama hauna mtu maalumu bado au "fulani atapendeza/weza/faa kweli kuwa mke wangu?!" na sio 'je umri wangu bado?'.

ni kweli
 
Hahaaha...27 first year?? Ongeza minne, tena miwili, malizia miwili tena ya kujipanga.
27+4+2+2=35. Hapo mambo yakienda sawa bila mizengwe ila kwa utata wa ajira na maisha ya ujasiliamali huku mtaani kwasasa, ongeza tena kama mitano hivi. Uhakika ni 40. Pole!
 
simple: whenever you are ready...hata kama utakuwa 60 as long as you feel you are ready na umempata mtu ambaye pia yuko tayari kuwa nawe milele. kwa sasa kazania kitabu kaka.
 
WanaJf ninapata utata kua ni umri gani ambao kwa mwanaume anapaswa kuoa mana me nina27 na naona nimechelewa maisha ukitegemea kwanza ndo nipo first year,naona wenzangu nimechelewa maisha,cu unajua maisha ya bongo,naomba mchango wako

fanya shule kwanza kaka,unataka kuoa unahela?watu hawachangii siku hizi
 
Hahaaha...27 first year?? Ongeza minne, tena miwili, malizia miwili tena ya kujipanga.
27+4+2+2=35. Hapo mambo yakienda sawa bila mizengwe ila kwa utata wa ajira na maisha ya ujasiliamali huku mtaani kwasasa, ongeza tena kama mitano hivi. Uhakika ni 40. Pole!
Unampa pole ya nini? mbona mimi nipo kwenye umri huo na sina financial arrasment lakini bado sijaoa? wewe ndoa kwako unaidefine vipi?
 
vipi huna mchumba?kam unaye yy anasemaje? Mi nakushauri ukiwa 3rd yr oa tu hata maisha yanabana yatajiseti mbeleni hakuna aliyezaliwa na nguo jembe langu
 
Maliza shule kwanza ...watoto wa kike wapi tena ukimaliza shule utajiongezea sifa ya kupata mtoto wa ukweli.
 
mie nina 28 na ndio kwaanza sijaanza chuo,na bado nataka mpaka nimalize ndio niolewe..mmnh sijui km nitapata mume..lol i think kwa wanawake ukifikisha 27 hujaolewa jihesabu huna bahati ya kuolewa lol
 
Not true, nina shangazi yangu aliolewa akiwa 35, na ndio alivo panga mwenyewe. na sasa hivi anahishi maisha mazuri tu.
 
Akipata mtoto kwenye umri huo, inabidi amwombe mungu walau mtoto wake afikishe miaka 20 ndio mungu akiamuwa kutimiza mapenzi yake ya kumrestisha in peace ndio yatimie, maana hapo shangazi yako atakuwa ana miaka 55.
 
nampa pole ya nini? mbona mimi nipo kwenye umri huo na sina financial arrasment lakini bado sijaoa? wewe ndoa kwako unaidefine vipi?

acheni uzungu na uzinzi miaka 40 bila ndoa na wewe ni shababi una maana gani?alafu ukioa na 45 mke akiwa agemate atakuwa menopause amefika.na kama ukipata watoto watakuwa wajukuu. pia wanaume wakifikia miaka 40 sex interest inapungua ndo mwanzo wa kulalamika mkeo anamegwa(kama ukipata kijana)raha ya ndoa muwe vijana mpate watoto mkiwa vijana.
 
Back
Top Bottom