Jameni hebu sijui lakufanya ushari PLZ

Wife amekumiss sana kaona afanye kusudi kununua fenicha ili ushikwe hasira umfate, kama ulikua hujui bas habari ndo hiyo fanya mpango umfate wife na ukifika tu na jazba zako unapokewa na a lot of kisses
 
Pole mkuu, kosa hilo halijafanywa na wewe tu, wanaume wengi hukosea sana. Tumewaoa kwa kazi maalum na mara zote jukumu tulilowaletea kwetu na tukaambatana nao kuwa mwili mmoja hua halipewi kipaumbele. Hawajaletwa kustarehe na kunua makochi au fanicha hao, wape shughuli waliyoijia watatulia oohhooooo!!!! kalaga baho
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom