Jameni hebu sijui lakufanya ushari PLZ

NTINGINYA

JF-Expert Member
Oct 5, 2010
252
47
Heshima kwenu
jamani mwezenu nashindwa kufaham kuhusu hili jambo nimemtumia mkewangu pesa za shughuli maalum kijijini kama m2 hivi natumepanga mipango pamoja hizo pesa ziende kijijini kwenye kamradi tulikoamua kufanya mara baada ya kutuma mwenzangu kaamua kunua fanicha za ndani kwakuwa sikunyingi sijanunua na nilimuahidi mwisho wa mwezi huu tutanunua lakini mpaka sasa hajakubali na mwisho akazima sim mpaka saa7 usiku alipofungua kanitusi nakuniambia nisijisumbue kupiga sim hatapokea nakweli toka jana hakuna mawasiliano hapo kunanini kinasho endelea wakuu mimi nimeshindwa kuelewa mpasasa sina jibu na sipo nyumbani kwa kipindi cha miezi 4
 
huyo mkeo mbona mgogoro, vumilia hasira zimuishe mzungumze ujue kinachomtatiza, lakini kwa upande mwingine inaonekana wewe ndio tatizo, kwa nini anunue fenicha kwa nguvu ilhali ulimuahidi kununua mwisho wa mwezi?
 
miezi minne huonani na mkeo?????????
kwa nini weekend usiende au yeye aje muonane??????

hilo la miezi minne naona ndo tatizo kubwa,hayo mengine ni matokeo tu
 
Mkuu nipo nje kikazi sio navyopenda
miezi minne huonani na mkeo?????????
kwa nini weekend usiende au yeye aje muonane??????

hilo la miezi minne naona ndo tatizo kubwa,hayo mengine ni matokeo tu
 
Hapo ndo nashindwa kuelewa sijui ananini na tatizo chughuli tuliyopanga kuifanya nilazima ifanywe kwenye mudahuu kama isingekuwa inafanyika kwa tarehe nisingejali kwakuwa ni muda mchache mpaka kupata mshahara
huyo mkeo mbona mgogoro, vumilia hasira zimuishe mzungumze ujue kinachomtatiza, lakini kwa upande mwingine inaonekana wewe ndio tatizo, kwa nini anunue fenicha kwa nguvu ilhali ulimuahidi kununua mwisho wa mwezi?
 
pole sana,msubiri mkeo a-calm down mzungumze,omba ukisali sana mungu ailinde nyumba yako pepo la mfarakano linakunyemelea............
 
Kuna wanaume huwa wabishi sana kununua furniture za ndani mpaka mke aje juu ili muweze badili, wakati mwingine mke hana njia ya kupata pesa na yeye ndiye anayeshinda ndani na kupata aibu, mara wageni wamekuja masofa yamechanika inabidi atandike mikanga looooooo nimekumbuka mbali sana,kajionea kama soo na iwe soo , mkuu hii inaonekana imekukosesha raha sana, kama upo hapahapa nchini, jitahidi uende huko kijijini ukamwone mkeo kama kanunua sofa mshukuru Mungu utatafuta pesa ingine
 
Samahani ikiwa ntakua nimekukera,Inaonyesha mkeo sio muelewa wala hakuonei huruma,ukombali inatakiwa afanye kama ulivyo muagiza na anainyesha ni wale wanawake wa leo ni leo msema kesho muongo,sasa hiyo fanicha anayo weka ndani kwani mtumiaji si wewe na yeye au anataka kumuonyesha jirani yake mama Avintishi na mama Mtakavyo kama mumewe yuko majuuuu? huyu kwa sasa mpeleke pesa ya kula tuu pesa ya miradi na mambo wengine subiri ukirejea mwenyewe laa sivyo pesa ukiwa unaleta mwenzio anampeleka mtoto wake au wa dadake akachezewe ngoma.
 
Nimekusoma mkuu

Shantel Shantel mwenzio namachungu kwangu kuna fanicha sio kama unavyokumbuka mbali wewe umefanya nicheke japokuawa nilikuwa na uchungu kwanini anifanyie hivyo lakini swa
Kuna wanaume huwa wabishi sana kununua furniture za ndani mpaka mke aje juu ili muweze badili, wakati mwingine mke hana njia ya kupata pesa na yeye ndiye anayeshinda ndani na kupata aibu, mara wageni wamekuja masofa yamechanika inabidi atandike mikanga looooooo nimekumbuka mbali sana,kajionea kama soo na iwe soo , mkuu hii inaonekana imekukosesha raha sana, kama upo hapahapa nchini, jitahidi uende huko kijijini ukamwone mkeo kama kanunua sofa mshukuru Mungu utatafuta pesa ingine
 
Mkuu inaonekana ulioa kabla hujakomaaa eeh? yaani matatizo ya wewe na mke wako, tena madogo kama hayo unakuja kuomba msaada hapa? Mbona wakati unatafuta hukutuomba msaada? wewe ndo unamfahamu zaidi mke wako, nenda mkamalizane naye? kwa hiyo sisi tukisema ulioa jini, nenda kafukuze utafanyeje? acha utoto wewe!!
 
Mdomo maliyako JF unauhuru wakusema upendanvyo mkuu hindio maana ya uhuru
Mkuu inaonekana ulioa kabla hujakomaaa eeh? yaani matatizo ya wewe na mke wako, tena madogo kama hayo unakuja kuomba msaada hapa? Mbona wakati unatafuta hukutuomba msaada? wewe ndo unamfahamu zaidi mke wako, nenda mkamalizane naye? kwa hiyo sisi tukisema ulioa jini, nenda kafukuze utafanyeje? acha utoto wewe!!
 
Mkuu pole sana kwa matatizo yaliyokupata.
Unajua vipaumbele katika maisha vinaweza tofautiana katika maisha.
Mara nyingi, unakuta mmja anafocus kwenye long time investiment,
na mwingine mara nyingi huangalia jinsi atakavyoweza kuishi vizuri kwa wakati huu.

Hilo ni tatizo ninaloliona hapo, sasa kuepuka future conflict, save, ukiona inatosha, basi nenda nakiasi ulichonacho then, mfanye unayotaka kufanya kwa pamoja.

Lapili, msamehe na usahau, kwa kuwa kazima simu, na hataki kuwasiliana nawe, wewe muache, kwani hukutenda kosa, na akipenda atakutafuta.
Tatu akikutafuta, mueleze ukweli, na kuwa hukupendezwa na hicho kitendo.

La muhimu, usitume pesa tana kwenye huo mradi, save, ikitosha, rudi simamieni mradi kwa pamoja.
Pole sana.
 
Shantel Shantel mwenzio namachungu kwangu kuna fanicha sio kama unavyokumbuka mbali wewe umefanya nicheke japokuawa nilikuwa na uchungu kwanini anifanyie hivyo lakini swa
Mkuu unaugulia wivu au pesa zimenunuliwa fanicha? hahhaaa hivi nimekuchekesha eee eti mikanga kutandika kwenye makochi, baba zetu nao?nimependa ushauri wa babuwa loliondo embu usome kwa makini uufanyie kazi
 
Mkuu pole kwa kifupi tu tumia muda uliopo kumuacha apooze hasira yake, najua unapenda kumsikia nn maoni yake lakini haitasaidia kwa sasa. akiwa katika hali ya upole na uelewa unaweza kujadili na kuweka mambo sawa. usilichukulie hili jambo kwa hasira mkuu kwani hapo vipau mbele vimetofautiana. mradi wa kijijini weka pending kidogo lakini tafuta kwanza amani ya ndoa hili ni jambo la msingi. na kama ulimkwaza hapo nyuma ni vema mkaweka yote sawa labda ni hasira za kukomoana. best of luck bro. ndoa ni kitu cha kutunza lakini cash tutazitafuta usiku na mchana mradi tu kuwepo na amani ya moyoni.
 
Hakuna mkamilifu cha msing poza muku na jaribu kufanya mambo mwenyewe huwa 2natofautiana sana na wake ze2 pind swala la maendeleo ya muda mrefu 2napo amua. nikawaida kwa hawa wa2 jaribu kufanya mwenyewe yy mpe matokeo2 ya ulicho fanya
 
Back
Top Bottom