Jambo Leo: Zitto na Dr. Slaa wachuana urais 2015, Zitto kama Ngasa na Dr. Slaa kama Messi

Gazeti la Jambo Leo la tarehe 28/10/2012 limeandika kuwa kuna mchuani mkali wa kugombea nafasi ya Urais ndani ya chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kuwa nafasi ya urais ni kati ya katibu mkuu. Wa chama na naibu wake na kuna kura ya maoni juu ya hili kutambua nani atafaa kugombea nafasi ya urais ifikapo 2015.

Na gazeti hilo limebainisha wazi kuwa kama wachezaji basi imewaweka katika uwezo wa wacheza mpira na kumfananisha Bwana Zitto Kabwe kama Ngasa mchezaji wa Simba ya Dar es salaam na Dr. Slaa kifananishwa na Messi wa Barcelona

Kama ni hivo basi ngassa atachukua ushindi
 
HIZI NI KAMPENI MFU ZA CCM NA VIKARAGOSI VYAKE.CHADEMA TU MAKINI NA HATUJAANZA MCHUANO HATA WA MWENYEKITI WA KITONGOJI. HATUNA MAKUNDI AU TIMU KAMA WAO NA SOTE NI JESHI MOJA LA KAMPENI YA USHINDI CHINI YA KAMANDA MKUU MBOWE NA TUTAPAMBANA NAO KATIKA UWANJA WA KIDEMOKRASIA NA SI VINGINEVYO.

TUKO MAKINI NA HILA ZAO ZOTE.WANATAKA KUONA AU KUSIKIA KAULI NA MIPANGO YETU LAKINI WAMEKWAMA.CHA MUHIMU KWAO NI KUANZA MAANDALIZI YA KUWA CHAMA CHA UPINZANI HIVI PUNDE NA SISI HATUTAWATENDA VIBAYA KAMA WAO WANAVYOTUFANYIA KAMPENI CHAFU NA HUJUMA.

KWA MAKAMANDA WETU WENGINE, MJIHADHALI NA UGONJWA HUU WA KUOTA MAGAMBA AMBAO UMEWAPATA WAPINZANI WETU CCM NA WASHISHIKA WAO.DALILI ZAKE NI PAMOJA NA KUWA NA VIKAO NJE YA VIKAO RASMI NA KUANZA KUWAZIA MASLAHI BINAFSI KABLA YA MASLAHI YA UMMA NA YA CHAMA.

People's........................

kweli kabisa mkuu!cdm wapo makini. Ushauri wangu kwa ccm kujipanga kuwa chama makini na kikuu cha upinzani 2015. Lakini ikimbwela kitapotea kabisa if kama ataendeleza u.p.u.m.b.a.v.u wake wa kukipigia kampen cdm kutokana na fitna zake za kukibana cdm na ikiendelea kuruhusu serikali kufanya uuni kwa wananchi walio iweka madarakani. Nashukuru
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom