Jambo Leo: Zitto na Dr. Slaa wachuana urais 2015, Zitto kama Ngasa na Dr. Slaa kama Messi

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Gazeti la Jambo Leo la tarehe 28/10/2012 limeandika kuwa kuna mchuani mkali wa kugombea nafasi ya Urais ndani ya chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kuwa nafasi ya urais ni kati ya katibu mkuu. Wa chama na naibu wake na kuna kura ya maoni juu ya hili kutambua nani atafaa kugombea nafasi ya urais ifikapo 2015.

Na gazeti hilo limebainisha wazi kuwa kama wachezaji basi imewaweka katika uwezo wa wacheza mpira na kumfananisha Bwana Zitto Kabwe kama Ngasa mchezaji wa Simba ya Dar es salaam na Dr. Slaa kifananishwa na Messi wa Barcelona
 
HIZI NI KAMPENI MFU ZA CCM NA VIKARAGOSI VYAKE.CHADEMA TU MAKINI NA HATUJAANZA MCHUANO HATA WA MWENYEKITI WA KITONGOJI. HATUNA MAKUNDI AU TIMU KAMA WAO NA SOTE NI JESHI MOJA LA KAMPENI YA USHINDI CHINI YA KAMANDA MKUU MBOWE NA TUTAPAMBANA NAO KATIKA UWANJA WA KIDEMOKRASIA NA SI VINGINEVYO.

TUKO MAKINI NA HILA ZAO ZOTE.WANATAKA KUONA AU KUSIKIA KAULI NA MIPANGO YETU LAKINI WAMEKWAMA.CHA MUHIMU KWAO NI KUANZA MAANDALIZI YA KUWA CHAMA CHA UPINZANI HIVI PUNDE NA SISI HATUTAWATENDA VIBAYA KAMA WAO WANAVYOTUFANYIA KAMPENI CHAFU NA HUJUMA.

KWA MAKAMANDA WETU WENGINE, MJIHADHALI NA UGONJWA HUU WA KUOTA MAGAMBA AMBAO UMEWAPATA WAPINZANI WETU CCM NA WASHISHIKA WAO.DALILI ZAKE NI PAMOJA NA KUWA NA VIKAO NJE YA VIKAO RASMI NA KUANZA KUWAZIA MASLAHI BINAFSI KABLA YA MASLAHI YA UMMA NA YA CHAMA.

People's........................
 
Gazeti la Jambo Leo la tarehe 28/10/2012 limeandika kuwa kuna mchuani mkali wa kugombea nafasi ya Urais ndani ya chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kuwa nafasi ya urais ni kati ya katibu mkuu. Wa chama na naibu wake na kuna kura ya maoni juu ya hili kutambua nani atafaa kugombea nafasi ya urais ifikapo 2015.

Na gazeti hilo limebainisha wazi kuwa kama wachezaji basi imewaweka katika uwezo wa wacheza mpira na kumfananisha Bwana Zitto Kabwe kama Ngasa mchezaji wa Simba ya Dar es salaam na Dr. Slaa kifananishwa na Messi wa Barcelona

Hakuna mchuano mkali kati ya Zito Z. Kabwe na Dr. Wilbrod Silaa. Naona huyo mwandishi haelewi maana ya mchuano mkali. Kwa mujibu ya matokeo ya Jamii Forums poll. Voters ni 1,188 ambapo ZZK amepata kura 181 tu ambayo ni sawa na 15.24% wakati Dr. Wilbrod Slaa amepata kura 1,007 tu ambayo ni sawa na 84.76%.

Kutokana na takwimu hizo hapo juu huu sio mchuano mkali. Gazeti limepotosha umma hasa kwa wale wajinga wanaonamini kuwa dogo ZZK anaweza kutuongoza kama Rais wa Tanzania. Ila nimependa sana pale walipomlinganisha ZZK na Ngasa wa Simba ya Dar es Salaam na Dr. Wilbrod Slaa na Messi wa Barcelona.

well said mkuu zzk kagaragazwa vibaya na dr. Slaa huwezi sema 85% na 15% (approx.) ni mchuano mkali, huo ni mzaha wa hali ya juu!
 
Siyo sahihi kusema ni mchuano mkali bali ni mchuano wa upande mmoja.Dr wa ukweli ni kama TYSON wa wakati ule na ZZK ni kama nyarawira wa tanzania. UZURI WA CHADEMA TUNAJUA TUNAKOELEKEA NA ADUI ANAFAHAMIKA VIZURI,TUKO FOCUSED.
 
Hakuna mchuano mkali kati ya Zito Z. Kabwe na Dr. Wilbrod Silaa. Naona huyo mwandishi haelewi maana ya mchuano mkali. Kwa mujibu ya matokeo ya
Jamii Forums poll. Voters ni 1,188 ambapo ZZK amepata kura 181 tu ambayo ni sawa na 15.24% wakati Dr. Wilbrod Slaa amepata kura 1,007 tu ambayo ni sawa na 84.76%.

Kutokana na takwimu hizo hapo juu huu sio mchuano mkali. Gazeti limepotosha umma hasa kwa wale wajinga wanaonamini kuwa dogo ZZK anaweza kutuongoza kama Rais wa Tanzania. Ila nimependa sana pale walipomlinganisha ZZK na Ngasa wa Simba ya Dar es Salaam na Dr. Wilbrod Slaa na Messi wa Barcelona.

Kwenye RED hapo ndio mgogoro, maana hata katika kura za maoni za 2010 Padri alikuwa juu ya JK, lakini akabwagwa vibaya na kuanza kususasusa hovyo.
Tehe tehe teheeeee
ZZK for presidency 2015
 
huyu mihariri wa hili gazeti ni mzima wa akili ?
Kaandika kile bwana yake anachotaka kiandikwe. Mwaka 2005 magazeti yalitumiwa sana kuwachafua wapinzani wa Kikwete na kumfanya Kikwete kuonekana malaika. Wasichofahamu ni kuwa umma wa watanzania wa leo si wa kudanganywa tena na magazeti. Mimi nashangaa sana kusikia Lowasa akitumia billions kwenye chaguzi zao eti anapanga safu ya kumwingiza Ikulu, Sijui watampitishia njia ipi. Mkuu, unamjua mmiliki wa gazeti hilo?
 
Gazeti la Jambo Leo la tarehe 28/10/2012 limeandika kuwa kuna mchuani mkali wa kugombea nafasi ya Urais ndani ya chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kuwa nafasi ya urais ni kati ya katibu mkuu. Wa chama na naibu wake na kuna kura ya maoni juu ya hili kutambua nani atafaa kugombea nafasi ya urais ifikapo 2015.

Na gazeti hilo limebainisha wazi kuwa kama wachezaji basi imewaweka katika uwezo wa wacheza mpira na kumfananisha Bwana Zitto Kabwe kama Ngasa mchezaji wa Simba ya Dar es salaam na Dr. Slaa kifananishwa na Messi wa Barcelona

Magazeti ya kihuni. Slaa hajawahi kutamka kuwa anawania urais. Magazeti ya udaku
 
Huyo ni mwandishi uchwara,chadema hakuna mchuano wowote,mchuano uko Uwt na Uvccm wanakochapana makonde kwa kugombania nafac.
 
zitto anakubalika kwa watanzania wote, dk slaa anakubalika kwa wakristo tu.

umepwaya kijana jipangee huwezi kumfananisha kufa na kuzimia eti zito na slaaa cheza na slaaa wa wengiii ni vigumu mtu kama zito kupata hata robo kula za watanzania
 
Zitto ana nafasi ya kupigania wanyonge pale bungeni ila kwa sasa sio kama zamani, wanaong'ara ni Lissu na Mnyika, la uraisi litakujaje wakati status inashuka? Sitrajii kama ataongoza Tanzania labda Kigoma.
 
Zito aache papara. Ana akili na uwezo wa kuchanganua mambo ila papara na haraka zake zitamuharibia mambo mengi. Awache kichwa ( dr slaa) awanyoe ccm kwa chupa. Wakati wake ukifika atapewa bila kulazimisha anachokitaka. Akileta ubishi na kujua kwingi atakosa vyote. Tulia kama Lisu na Mnyika. Nyakati zenu zaja
 
Back
Top Bottom