Jambo kutoka Ujerumani.

Guten tag fisimlafi. Danke Schön. Wie geht es dir? Velkommen, aber ich spreche nicht deutsch!
 
Ich liebe dich..............mkuu ukweli mwambie demu wa kijerumani hivyo atakushitaki.


Kwani kumwambia mtu unampenda anakushitaki vipi mkuu mbona waja sasa? nimewambia sana na wakazidi kunipenda sasa wewe unapindisha mbona? Anishitaki kwa lipi hapo?
 
Ich liebe dich..............mkuu ukweli mwambie demu wa kijerumani hivyo atakushitaki.

Sasa wangapi wamef

ungwa kwa kuwaambia mademu wanawapenda? mkuu umefulia hapo duuuuuu.....nimeshachakachua demu wa Kijeruman na nilimwambia sana hivyo mbona hajanishitaki, au sheria yako mpya hiyo? Hata Hetler alikuwa anaambiwa vile vile
 
Learn German at the Goethe-Institut in Upanga on Alykhan Road, opposite the Jamatkhana! Dann können Sie gut Deutsch sprechen!!
 
Karibu mgeni toka ujeremani,uingie kwa amani, ujimwage kibarazani, uchangie hoja kwa rehema za manani.
 
Back
Top Bottom