Jambazi lakamatwa na risasi 2040

Calnde

JF-Expert Member
Oct 7, 2008
1,373
277
ITV, NEWS ZA USIKU. Jambazi sugu likitokea kigoma limekamatwa na risasi 2040 likiwa limefunga kwenye kiroba cha kawaida. Msako huo umekamata majambazi 300
 
Wametengeneza hii story,thamani ya zile risasi ni kubwa..ila kova ni mbunifu zaidi ya shigongo
 
Back
Top Bottom