jamaniii nitapataje mzungu?

hivi hamna wazungu wanaotoka na wadada weusi ambao ni wanene?mie natafuta mzungu jamani,sehemu ninayoishi ni ya wazungu tupu ila hawaninotice....nifanyeje???msiniambie ni loose weight niwe stick-thin kama baadhi ya wake wa wazungu......?nikikosa mzungu niko tayari kusettle down na mweusi mwenzangu so kama wewe ni mkaka then handsome holaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa at yo girl...........................:mwaaah::shut-mouth:

...... Nikipaka mkorogo, nitafaa?
 
Pauline rafiki yangu hamna siku ilionisikitisha kama leo,ukitaka mwanaume wa kukufaa usiangalie rangi tafuta mtu mnaye-connect nae ambaye hata ukimwangalia unajuwa anawaza nini nae pia akikuangalia tu anajua unawaza nini na ambae uko comfortable nae. Sipendi watu wanaosema nataka mtu wa rangi flani au kabila flani,kama umeandika ili tu chitchat sawa lakini kama haya unayo moyoni naomba uondoe msimamo huu dear smily -your friend always Uporoto.

pole jamani uporoto,umeongea kwa hisia mpaka nimeogopa....:smow:
 
mi nipo ukikosa huyo blad muzungu,tuje tuelekezane yalee mambo yetu yaleeeee ya tigo kinadharia:A S thumbs_up:
 
Pole pauline! Ningekuwa mimi, nisingethubutu kuwataka hawa watu! Nakuomba achana nao, ila kama Mungu amekupangia mzungu, ni sawa!
 
hivi hamna wazungu wanaotoka na wadada weusi ambao ni wanene?mie natafuta mzungu jamani,sehemu ninayoishi ni ya wazungu tupu ila hawaninotice....nifanyeje???msiniambie ni loose weight niwe stick-thin kama baadhi ya wake wa wazungu......?nikikosa mzungu niko tayari kusettle down na mweusi mwenzangu so kama wewe ni mkaka then handsome holaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa at yo girl...........................:mwaaah::shut-mouth:

hehehe sweetheart Pauline unaifahamu blog moja inaitwa U-Turn hebu Contact na Mange akupe mbinu mbadala
 
Pamoja na mapungufu yetu mengine, ukoloni umetuathiri na utaendelea kutuathiri sana. Kuna hisia kwamba wazungu ni viumbe wenye huruma kuliko jamii zingine za watu. Mara ooh wazungu ni waaminifu hata ktk mapenzi, nk. Kuna siku ktk hoteli moja kubwa ya kitalii Arusha, wahudumu wa kike na kiume walifakamia sana pombe walizopewa na wazungu waliokuwa wanasherehekea hapo, wakalewa mbaya. Kuja kushtuka asubuhi, wote (dadas+kakas) walikuwa wameshapitiwa na wazungu. Wakaishia kufukuzwa kazi maana ilikuwa ni aibu kwa hoteli. Kazi hamna na kupitiwa umepitiwa kwa hongo ya pombe. Kuna dada mwenye akili timamu aliwahi kufanya mapenzi na mbwa wa mzungu hapa dsm, yaani kila kitu cha mzungu ni kizuri.Anakuja mzungu hapa bongo bila hata kumi, anaondoka na mamilioni-shukrani kwa watz wanaosaini mikataba kama ya Richmond, Rites, na madini. Wazungu ni binadamu tu kama sie wenye ngozi nyeusi kama chungu!
 
hivi hamna wazungu wanaotoka na wadada weusi ambao ni wanene?mie natafuta mzungu jamani,sehemu ninayoishi ni ya wazungu tupu ila hawaninotice....nifanyeje???msiniambie ni loose weight niwe stick-thin kama baadhi ya wake wa wazungu......?nikikosa mzungu niko tayari kusettle down na mweusi mwenzangu so kama wewe ni mkaka then handsome holaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa at yo girl...........................:mwaaah::shut-mouth:
mie ni mzungu....sio kwamba sisi hatutaki wadada weusi, tuna wahitaji saaaan coz wana baadhi ya vitu ambavvyo wadada wa kizungu hawana one of them ni maumbo yenu, it has nothing to do na unene ila figure za kiafrica mmmh! zinavutia, nadhani tu wewe huja mix fresh na hao wazungu wa huko kwenu, try yourbest mix nao then uone results, may be we mzuri sana wanakuogopa...!
 
Astakafilu!..... Mwe, Pauline sina uzoefu anga hizo wala sijawahi kufikiria.
 
hivi hamna wazungu wanaotoka na wadada weusi ambao ni wanene?mie natafuta mzungu jamani,sehemu ninayoishi ni ya wazungu tupu ila hawaninotice....nifanyeje???msiniambie ni loose weight niwe stick-thin kama baadhi ya wake wa wazungu......?nikikosa mzungu niko tayari kusettle down na mweusi mwenzangu so kama wewe ni mkaka then handsome holaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa at yo girl...........................:mwaaah::shut-mouth:
LOL!!! Pauline una mambo. Unatafuta mzungu. Kama hakuna hata mweusi twende. Nakumbuka sometimes ago uliwahi sema kuna wakati hata wanawake unawatamani... mmhhh.
Kwa kujibu swali lako usitafuti mtu kwa lengo la kupendana, tafuta tu marafiki kwanza, wakiwa karibu yako ndio watagundua how beautiful you are. hayo ya skinny girls ni superficial love sababu mtu akikupenda hapendi mwili, anakupenda wewe.
 
kuna ka blog flani hivi kanaitwa "U-turn" kuna siku mmiliki wake alileta bifu hapa nadhani kule ndo kuna hilo soko!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom