jamaniii nitapataje mzungu?

pauline

JF-Expert Member
Dec 26, 2010
650
140
hivi hamna wazungu wanaotoka na wadada weusi ambao ni wanene?mie natafuta mzungu jamani,sehemu ninayoishi ni ya wazungu tupu ila hawaninotice....nifanyeje???msiniambie ni loose weight niwe stick-thin kama baadhi ya wake wa wazungu......?nikikosa mzungu niko tayari kusettle down na mweusi mwenzangu so kama wewe ni mkaka then handsome holaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa at yo girl...........................:mwaaah::shut-mouth:
 
Kuwa na msimamo. Unataka mzungu au mweusi mwenzio? Kwa nini ufikirie kuwakosa hao unaowataka na je, wana nini ambacho wabongo wenzio hawana?
 
Kuwa na msimamo. Unataka mzungu au mweusi mwenzio? Kwa nini ufikirie kuwakosa hao unaowataka na je, wana nini ambacho wabongo wenzio hawana?

basi tu nataka nionje tofauti.....wabongo nilishawahi kuwa nao,this time nataka mzungu :confused2::whistle:
 
Njoo nikupe huyu wangu maana nimemwambia akatahiri halitaki so tuwasiliane mwaya :becky::becky::becky:

mbona ulimkubali sasaaaaaa au hukujua atakuwa nalo?:becky::becky::becky: mie govi halitanisumbua nasikia kny majamboziii akilivuta akamtoa nyoka pangoni anakuwa wa motooooooooooooooooooooo kama mgonjwa wa homa:becky:
 
hahahhahaha Paulin kwanini wawataka wazungu jamani....na nani kakwambia hawali wanawake wanene
 
Pauline,
Utafaidi kweli kweli, wanaume wa kizungu wao raha yako ndio raha yao. Hasipokufikisha kileleni kwa namna yoyote ile basi haridhiki.
Faida zingine ni kama vile less pressure sababu sio vicheche sana. Pia wanaweza kukupikia na kuosha vyombo bila tabu yoyote ile.
PS: Wamarekani wengi hawana govi.
Just promise me usije enda na kibabu. Vibabu ni via kwa wale walio kimaslahi zaidi :becky:
 
anza na u striper kwenye casinos nadhani ni rahisi zaidi, au nenda kwenye fukwe na sehemu za kitalii wanamo jiachaa nadhani utawapata kirahisi.....other wise kama ni swala la ngozi nyeupe cheki na ndugu zetu wachina au wadosi fasta ila wao hawana pesa....
 
Pauline,
Utafaidi kweli kweli, wanaume wa kizungu wao raha yako ndio raha yao. Hasipokufikisha kileleni kwa namna yoyote ile basi haridhiki.
Faida zingine ni kama vile less pressure sababu sio vicheche sana. Pia wanaweza kukupikia na kuosha vyombo bila tabu yoyote ile.
PS: Wamarekani wengi hawana govi.
Just promise me usije enda na kibabu. Vibabu ni via kwa wale walio kimaslahi zaidi :becky:
hapo kwa kufikishwa kileleni wadanganye wasowajua....njaa itauma mpaka utumbo ujikunje
 
hivi hamna wazungu wanaotoka na wadada weusi ambao ni wanene?mie natafuta mzungu jamani,sehemu ninayoishi ni ya wazungu tupu ila hawaninotice....nifanyeje???msiniambie ni loose weight niwe stick-thin kama baadhi ya wake wa wazungu......?nikikosa mzungu niko tayari kusettle down na mweusi mwenzangu so kama wewe ni mkaka then handsome holaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa at yo girl...........................:mwaaah::shut-mouth:
Pauline rafiki yangu hamna siku ilionisikitisha kama leo,ukitaka mwanaume wa kukufaa usiangalie rangi tafuta mtu mnaye-connect nae ambaye hata ukimwangalia unajuwa anawaza nini nae pia akikuangalia tu anajua unawaza nini na ambae uko comfortable nae. Sipendi watu wanaosema nataka mtu wa rangi flani au kabila flani,kama umeandika ili tu chitchat sawa lakini kama haya unayo moyoni naomba uondoe msimamo huu dear smily -your friend always Uporoto.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom