Jamani!!!?

Mh hapo ndo wanasema 'DONT ASK DONT TELL' wakwetu aka DADT.
 
haya yule aliyekuwa anaulizia jicho la mahaba hilo hapo........duh! jamaa lazima awe punga!
 
christina-milian-atlanta-pride.jpg

:angry::angry::angry::angry::angry::angry:

Hawa wote ni wasichana, angalia walivyopendeza sasa wambie na wao wazae walau watoto hata wawili au mmoja watakuambia hawana muda huo, je wao 'wasingezaliwa wangejisikiaje'
 
Back
Top Bottom