Jamani

ombeni

Member
Mar 24, 2011
47
2
Hivi kwa nini wanaume hawapendi kuwasindikiza wake zao CLINIC,HOSPITAL?naomba kuwasilisha asante.
 
I disagree with you!..wengi ninaowaona mimi wanasindikizwa clinic na wanaume wao. Haimaniishi wasiposindikiza kila clinic ni tatizo!!
 
Nilikuwa pale AGHAKAN kumtembelea shosti flani MATENITY WARD sasa wababa kibao walikuwemo ila kila mmoja alikuwa akisema anajutia kumsindikiza mkewe manake anatamani amsaidie kuumia ila ndio haiwezekani
 
Hivi kwa nini wanaume hawapendi kuwasindikiza wake zao CLINIC,HOSPITAL?naomba kuwasilisha asante.

Kwangu mie si kweli. Huwa naandamana naye kliniki na hospitali. Hata wakati wa kujifungua huwa huwa simuachi peke yake napta sapoti, 'yes, you can do it, push... '
 
Nimtazamo tu,ila sio wote.Na sioni tatizo mwanaume kuandamana na mkewe kwenda sehemu hizo.
 
Mie pia kusindikizwa ilikuwa nadra mwishomwisho wakati nimechoka ndio alikuwa ananipeleka
 
Sio utamaduni wetu lakini with time tunaweza badilika na tayari tumeanza kufanya hivyo.
 
Si kweli! me mke wangu nimempeleka klnik toka ana mimba ya mwezi mmoja mpaka amelifungua. Na baada ya kujifungua mtoto tunampeleka wote.
 
Back
Top Bottom