jamani zungu anachana huku clouds FM

<br />
<br />
koooote napingana na MASABURI,lakin la kufikiria kwa VIJAMBIO,,,,,,,,,,naunga mkono hoja,wawakilish wetu hawatumii akili,mmesahau tozo la mafuta ya taaa,si huwa mnaskia vigeregere??????


Bwaaah!!! ha!! ha!! ha!! ha!! haaaaaaaaaaaaa!!!!
 
wote WEZI! hakuna mwenye afadhali, wamerushana mgao sasa wanatuinjoi. Kumbe wamnajua kua wanatumia nanii kufikiri!
 
Back
Top Bottom