Jamani yeyote anaemtaka huyu demu!

:lol:
Anapatikana wapi huyo dada nimpe hongera kwa njia aliyotumia kukukataa
anajua hautomtafuta tena kwahiyo atakuwa huru.
 
watoto yatima ungewapelekea hiyo hela wangenunuliwa makopo mangapi ya maziwa?
hata Mungu angekuongezea we unahonga vibiringoma ndio ufaidike nn?
 
Pole mkuu, lakini ungemuuliza vizuri ni ya nini? maana inawezekana ikawa ni ada ya chuo, ungeangalia namnagani utamsaidia.
 
Baada ya kurejea bongo leo nikiwa kwenye pirika zangu za kikazi nikabahatika kukutana na mrembo wa haja!

Yani demu nimeonana nae kwa mara yakwanza mchana wa leo,na nikamtoa hamsini hataratiba ya kula tunda tu bado eti jioni hii kananitumia sms hii jamani:

Habari yako sweet?sasa kunashida moja imejitokeza kidogo naomba nisaidie laki tano (500,000/=) ni2mie kwa njia ya m-pesa namba iyo 076... plz.

Sijajibu chochote na anabp sasa hv kwa fujo sana!

JB pole sana nakushauri hata kama unataka kufanya kazi za nje jaribu kubadili technique. Kwanza task ya kwanza iwe kumuelewa mtu unayetaka kuwa naye karibu ni mtu wa aina gani? Hii inahitaji muda kidogo na itatoa full direction ya utumie nini kumg'oa huyo mtu unayemtaka.

:lol:
Anapatikana wapi huyo dada nimpe hongera kwa njia aliyotumia kukukataa
anajua hautomtafuta tena kwahiyo atakuwa huru.

Upo sahihi kabisa, inawezekana baada ya JB kujipendekeza kwa huyo dada akaona ngoja achangamkie tenda (50,000.00) lakini alikuwa ni mtu ambaye ana committment nyingine kwa wa mtu wake sasa ili asisumbuliwe akaona ngoja nitumie mbinu hiyo kwani alielewa fika kabisa itabadili muonekano wake kwa JB na baade haraka akatoa conclusion mtihani mdogo tu umekushinda ili ajivue gamba aelndelee na 50 zake.
 
pole sana kaka au ulimwendea kwa swagga flan hivi za mipango mingi
 
da dei one hamsini? natamani ningepata hiyo bahati naomba ni pm hata mimi mzuri na nakuhaidi nitakuwa mwaminifu na sitakupiga mizinga mikubwa
 
Ahaaahaa waungwana binti katuma sms nyingine sasa hivi!

Yani nimekutumia sms tangu mchana nimekwambia ninashida na laki tano umesema hujaiona?sasa huo ulikuwa mtihan mdogo 2 umeshindwa naona ha2wez kuwa wapenz.bye.

Kwa hiyo na hamsini yako imekwenda bure sio!
 
Hata ukimpa hizo
laki5 hugongi ngozi
anampango wa kukuchuna
na we nawe domo zege
au 50 fasta hivyo
angalia hapa daslam
madada wa kimujini watakuliza ohoo
 
Hahahah wanawake wengine wanajidharaulisha sana. Day one unaenda lunch, unashikishwa 50 bado unalete ujinga wako. Watu hawajui kucheza nakarata zao. Ungedondoka mikononi mwangu ungejuta maana hela ungeleta mwenyewe bila kusema chochote!! ukuje kwangu mwaya achana na huyo jini mahaba! lol.
 
Mjini hapa, tumia akili! Kesho atakwambia naomba 1.5m ninadhararura! Kesho kutwa atakwambia naomba ninunulia vitz!
 
Ahaaahaa waungwana binti katuma sms nyingine sasa hivi!

Yani nimekutumia sms tangu mchana nimekwambia ninashida na laki tano umesema hujaiona?sasa huo ulikuwa mtihan mdogo 2 umeshindwa naona ha2wez kuwa wapenz.bye.
hata,ingekuwa mimi,ningekupiga mzinga huo,pesa unayo jombaaa
 
Back
Top Bottom