Mpaka hapo unapotea maelezo huelewki tatizo la laptop yako ni ni hasa.
So faya njia inaitwa troubleshoting by isolation ili uondoea hisia ya chanzo halisi cha matatizo ya laptop yako.
Maana kwa maelezo yako haraka haraka naona unataja matatizo haya
- PC imekufa? imekufa nini?? HDD, CD ROM ,etc its only by isolatin ndo utajua tatizo halisi
- Kukopy zimegoma. Zimegomaje?
Otheriwise tafuta mtaalam akuchekie lakini naona tatizo ulilonalo ni kwamba hujajuta tataizo halisi linasombua PC yako na unashindwa kuelezea vizuri.
wala hamna kitu kama hicho kuwa cd za kukopi zimegoma mpya itakubali. sahau sahau sahau!!!!!!
kwani cd za kukopi kama hazijachunika ni sawa na cd ya original.
na cd ya original iliyochunika ni mbaya kuliko ya kukopi ambayo haijachunika.
kama inagoma maana yake either cd unayotumia haijakopika vyema au mlango wako wa cd (cd rom drive) ndio wenye matatizo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.