Jamani waungwana nisaidieni kwa ili,leo nimeshindwa ku'hack modem ya TTCL,nifanyeje?

Bongoclever

Senior Member
Jul 30, 2012
105
11
nimehack modem ya tigo,zantel na airtel ila jaman ttcl wameniweza kama kuna cracker yeyote anipe mauwezo.
 
Kaka hapo hata mimi ndipo nawakubali sana,na mimi wameniweza, kwani broo we detail za sim kadi yako zinaanza na namba ngap za mwanzo?
 
Ila kuna dogo mmoja anitwa mc lin yupo pande za mexicana aliniambia modem kama hizo inahitaji chipburner.
 
ok! Hebu nipe contact zake bac cuz nipo field na natafuta mauwezo ya kuhack hyo mordem ya TTCL.
 
ok! Hebu nipe contact zake bac cuz nipo field na natafuta mauwezo ya kuhack hyo mordem ya TTCL.

kwani we upo vast gan mzaz?kitambo sana nilikuwa natafuta mtu kama ww tushare mauwezo,kuhusu contact,ngoja niangalie utaratibu mjomba.
 
kwel mwana,but me kuna frnd wangu ambae yupo pande za Philadelphia USA ndo alinipa mau2ndu ya ku'hack hzo v2,now nimepoteza mawasliano naye...
 
kwel mwana,but me kuna frnd wangu ambae yupo pande za Philadelphia USA ndo alinipa mau2ndu ya ku'huck hzo v2,now nimepoteza mawasliano naye...

kweli mwana hata mimi huwa nawabana sana wakijaga kututembelea mavast letu.ila kwa kuwa tuko mtu mbili tutachonga sana kweny emails mwana aminia sana mkali wangu.
 
Dsm mjomba,mi nabadilishaga hizi chinese fon na kustore java kwa kutumia boolean language we hayo mautundu waga unayo.
 
dah! We mkal!! Me labda ku'fix Sim card na modem tu! Huwa natumia formula ya symbol & numerical: 4ex: if u wanna 2 fix aitel cheep...[F2>^6668G=>^]. Simple like dat brodar...hii ndo huwa formla yang simple.we hu2mia whch f^?
 
Inamaanisha hiyo software alikupa nani au ni huyo dogo,ila haina mbaya ni kanuni moja tu na software yangu yangu, mi huwa natumia symbol lakini mara nyingi ni boolean language,kwa sababu ukikosea kidogo tu kwny symbol mpango mzima umeharibika.
 
Je kati yenu kuna mtu anaweza kuflash modem za zantel za cdma ili zitumie sim card yeyote? Yangu haina sim card halafu haikamati mtandao kabisa. Kama ujanja huo upo niwatafute basi
 
Je kati yenu kuna mtu anaweza kuflash modem za zantel za cdma ili zitumie sim card yeyote? Yangu haina sim card halafu haikamati mtandao kabisa. Kama ujanja huo upo niwatafute basi

Sasa hiyo line ya mtandao mwingine utawekaje sasa??
 
i cant believe wana it mnashindwa differentiate gsm na cdma. Ishu ipo hivi

Modem za ttcl, zantel na sasatel haziwezi ingia lain za tigo, voda, na airtel (labda yesu arudi)

Ni technolojia 2 tofauti gsm inatoka europe na cdma inatoka marekani ili utumie cdma kwa gsm au gsm kwa cdma lazima uchangue modem yote ubadili kila kitu (and i don think kama hii ni possible bila kiwandan)

Unachoweza kufanya ni kuchakachua modem kati ya hizi 3 sasatel, ttcl na zantel zitumie line ya cdma

Mpaka sasa ni mtandao mmoja tu tanzania unaotoa huduma za line za cdma ambao ni zantel na line wanauza shilling elfu 10 moja

So unaweza chakachua ttcl au sasatel utumie zantel (ila mimi sion kama ni busara).
Cost ya kuchakachua na line ya elf 10 ni bora ununue modem ya zantel elf 20

Yani hapo ni kama mnashauriana gari lenu litaendaje zanzibar na lipite juu ya maji
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom