Elections 2010 Jamani Watu Wameichoka CCM

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Tarehe 12 Oktoba 2010. Saa tano asubuhi.

Niko kwenye taxi na babu ninayefanya naye kazi ofisi moja. Babu amekaa kiti cha mbele.

Mtaa wa Lumumba. Tunaelekea zetu Upanga. Kulia kwetu zinaonekana ofisi za CCM. Pembeni yake kina mama kadhaa wamepauka wakipigwa na jua. Wanauza stika, wheelcover fulana na matakataka mengine ya rangi za CCM. Dereva anamchokoza babu.

Dereva: "Babu nunua picha ya JK ubandike nyuma ya gari yako bwana."

Babu: "Unasemaje? Hivi una akili kweli wewe? Eh? Una f**** nini?

Babu akaendelea...............
"Yaani mimi nibandike picha imeandikwa Chagua CCM??"
"Si bora niandike CHAGUA MK***U??!!"

Sikuamini. Huu si udaku. Ni hali halisi.
 
mhh Hao nikuwapa moyo Tarehe 31 watumie mapanga yao kurawakata Mafisadi! kwenye kisanduku cha kupigia kura
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom