Nijambo la kawaida mkena mume walianzia kwenye urafiki wa kawaida na baada ya muda mfupi au hata kipindi kireeefu kua marafiki hatimae hufunga pingu za maisha je? Tuwaangalieje hawa wadada bilaya urafiki au hata kumjua vema kitabia, ukimgusatu wantaka upeleke posa kwao eti kisingizio ni geti kali. Jameni wana jf.hubu nitoeni taka za machooooh!.