Jamani Wanajf Naomba Msaada Wenu.

HardMartin

JF-Expert Member
Jun 8, 2012
304
107
Habari za asubuhi ndugu zangu,jaman nina mdogo wangu anasumbuliwa na maumivu ya tumbo upande wa kulia toka mwez april nimejaribu kumpeleka hospital wanaishia kumpa dawa bila kutoa vipimo maalum,kila 2kienda hosp wanaendelea kumbalishia dawa wakat mpaka sasa hajapata nafuu badala yake anasema kwamba MAUMIVU YANAZID KUPANDA JUU MPAKA KUFKIA KIFUAN UPANDE WA KULIA,kinachoniuma zaid n kwamba hajarpot shule mpaka leo(4rm five)-NAOMBA MSAADA wenu wa Ushaur pamoja na Tiba.
 
Mpeleke Muhimbili
 
Poleni sana. Nashauri mtafute hospitali afanye intensive medical examination. Kumeza dawa mfululizo bila kujua tatizo hasa ni nini kunaweza kusababisha madhara makubwa sana baadae. Napenda pia kusisitiza kwamba HOSPITALI MTA KAYO KWENDA IKIWEZEKANA IWE YA RUFAA ama hospitali yenye wadaktari wenye kuaminika. TAFADHALI ASIMEZE DAWA BILA KUJUA TATIZO HASA NI NINI!
 
naomba mpeleke kwenye vipimo kwanza kabala yakumpa dawa tu. Mhimbili au paramiho, KCMC unaweza pata matibabu ya maana inategemea uko sehemu gani
 
Back
Top Bottom