Jamani wana chit chat hebu njooni tumpe hongera

Nashukuru wote jamani hasa mwanzilishi wa thread hii sweetlady na nyie wenzangu wote.
Nimetoka tu chap kwa lanchi narudi tena, tuonane baadaye. Namaanisha mahakamani kuna kusikilizwa rufaa ya mbunge wa zamani wa Arusha mjini.
LOVE YOU ALL..:peace::peace: PAMOJA SANA!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru wote jamani hasa mwanzilishi wa uzi huu charminglady na wachangiaji wote.
Nimetoka tu chap kwa lanchi narudi tena, tuonane baadaye. Namaanisha mahakamani kuna kusikilizwa rufaa ya mbunge wa zamani wa Arusha mjini.
LOVE YOU ALL..:peace::peace: PAMOJA SANA!!!!!!!!!!!!
Eti mwanzisha uzi ni nani? Hehehe, sie ndugu wa damu moja mpaka watuchanganya majina eeh? Haya edit kabla hujamaliza kula.
 
Last edited by a moderator:
sweetlady aise we unapendeka mpaka Invisible kakupa like
Nakupenda sana sweetlady na kwenye mabano tena (yaani hapa sili siambiwi juu yako )
Achana na Vin Diesel ana wivu mpaka amekonda kwa wivu wake huo

Blaki Womani hapo Vin Diesel wala sio ulevi anakudanganya tuu aliteguka kiuno sijui alikuwa anafanya mazoezi gani hebu mchunguze

nakusalimu pia my sweet love sweetlady (futa haraka haraka nitonye na ruttashobolwa wasione

Blaki Womani we fikisha salam tuu wala usiulize lolote na nafurahi kuzipokea
wala ruttashobolwa wala 'nitonye hapa hawahusiki sweetlady zimefika salam na nakupenda sana wewe
Aisee hii nilikuwa sijaiona lol. Mr Rocky ahsante kwa kunipenda mwaya, mie pia nakupenda tena zaidi ya sana! Huyo anaekonda kama vipi asage chupa anywe!

Mwaaaaaa hilo sijaliweka kwenye mabano ili walione vizuri.
 
Last edited by a moderator:
Aisee hii nilikuwa sijaiona lol. Mr Rocky ahsante kwa kunipenda mwaya, mie pia nakupenda tena zaidi ya sana! Huyo anaekonda kama vipi asage chupa anywe!

Mwaaaaaa hilo sijaliweka kwenye mabano ili walione vizuri.
sweetlady nakupenda sana aise hiyo sifichi tena
naona mwenye wivu mwingine kashakuja Erickb52 sijui kapona kwenye mafuriko ya ziwa Blaki Womani wacha basi mambo yako bana mbona unaniwekea kauzibe kaka yako aise
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom