Jamani wana chit chat hebu njooni tumpe hongera

Arushaone ni kiboko na kweli kuna siku nilikuta like kama ishirini zote ni za Arushaone
Hongera sana mkuu Erickb52 wanao wanaendeleaje huko meatu maana naona umelowea kabisa hutaki kurudi Amyner anajua kuwa uko meatu sweetlady mekumiss wewe halafu kwenye mabano (nakupenda sana )
ukimaliza kusoma ufute au weka wino mweusi isionekane
 
Last edited by a moderator:

Mr Rocky mzima...... Erickb52 vibambala na sangara vinamchanganya nawasiliana na Arushaone amfwate usikute amepotelea ziwani.......hapo kwenye mabano pameandikwa nini
 
Last edited by a moderator:
Arushaone ni kiboko na kweli kuna siku nilikuta like kama ishirini zote ni za Arushaone
Hongera sana mkuu Erickb52 wanao wanaendeleaje huko meatu maana naona umelowea kabisa hutaki kurudi Amyner anajua kuwa uko meatu sweetlady mekumiss wewe halafu kwenye mabano (nakupenda sana )
ukimaliza kusoma ufute au weka wino mweusi isionekane

Mkuu...hivi wa kuwapenda wameisha mpaka uje nyumbani kwangu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom