Jamani wana chit chat hebu njooni tumpe hongera

sweetlady

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
16,947
8,409
Wapendwa wana chit chat kuna huyu memba anaejiita Arushaone .......daaaah jamani sio mchoyo wa kutoa like......hebu na tumpe hongera zake manake hana mpinzani chit chat na majukwaa mengine kwa sasa.....yaani mie ananishangaza kwa kweli.....huyu mwenzetu sijui atakuwa anatokea kabila lipi lisilokuwa na hata chembe ya uchoyo...... Mke mwenza King'asti hebu nisaidie kujua Arushaone anatokea mkoa gani ila na wewe usijesema anatokea mkoa wa ngaramtoni lol.......hivi kuna memba humu hajawahi kulamba like ya Arushaone???......kama yupo na akaoge maji ya magadi tena yalochotwa katikati ya bahari....... platozoom atamsaidia kwenda kuchota !

Mamndenyi mama mzazi naomba kwa heshima na taadhima nikutoe kwenye ginesi buku yangu kwa upendo wa bwana afu nimwingize Arushaone manake anatisha na anastahili kiukweli!.......tumezoea kupeana like kishkaji ila huyu mwenzetu jamani za kwake zimepitiliza..... Ndahani hebu kuja umpigie makofi kwa niaba ya Filipo na PakaJimmy!

Nikisema Arushaone sio mchoyo ina mana kuna wachoyo wa kutoa like humu.....mmoja wao ni Nyani Ngabu lol yaani mie toka nijiunge jf nimewahi kulamba like yake moja tu khaaa......yaani mpaka nimeiandikia tarehe wajameni lol....kuna na huyu moderator anaejiita Invisible yaani hajawahi kunigongea like hata siku moja ......najitahidi kweli kum mention kwenye post tofauti tofauti ila nasikitika vile bado amenikaukia lakina naamini kuna siku atanigongea.....hongera za kipekee zimwendee shemeji langu la ukweli Paw manake kiukweli nna like zake kadhaa bila kumsahau INNOVATOR na Fang !

Kuna wale wenzangu na mie yaani hawa utakuta wana like za watu kibao ila wao hawajatoa like hata moja khaaa.....jamani acheni uchoyo manake mnakuwa hamuwatendei haki memba kama Arushaone......kutoa ni moyo wajameni......like tu mnakuwa wachoyo hivyo vipi hiyo michango ya jf mtaitoa kweli??? tehe tehe tehe!
Arushaone mimi binafsi natoa shukrani za dhati kutoka uvunguni mwa moyo wangu..... Unatisha mkuu!

Nawaita Kongosho, Asprin, Preta, Erickb52, Kaizer, Catherine, charminglady, KARIA BAGAH, Judgement, AshaDii, Blaki Womani, Madame B, Mentor na memba wote wa chit chat niliowasahau majina yao....njooni tumpe hongera Arushaone!
 
Huyu Arushaone sio mchezo! Huwa anatowa like thread yooote! hahaha! Nimebahatika thread tatu zoote katowa like post zote, like zake huja kama mvua vile...

Arushaone, hongera sana kwa moyo wako tajiri wa kutoa. Inaweza onekana kama mzaha but this says a lot about you. Na comment zako chache na brief inaonesha ni mtu wa furaha wakati wote.

Hizi pongezi naomba pia zimuendee na Mamndenyi, huyu auntie kwa 'like' nae sio haba! Lol! Nichukue na hii nafasi pia kumpongeza Katavi kwa kukaribisha... Mkuu wew ni mkarimu saana.... Hongera sana kwa moyo wako huo.

Nitowe pongezi pia na kwa Mtambuzi kwa story zake za kukosha, bila kumsahau baba watoto Kaizer kwa bidii yake ya kuoa na kuongeza idadi ya wake na washiriki wote waliosimama hasa... Kwa muktadha huoa natuma salamu kwa gfsonwin, mwaJ, mwalimu wake Madame B na snowhite bila kumsahau my niece Mwali. Love to you all...

My sweet wifi sweetlady pamoja saana!
 
Last edited by a moderator:

kwa Katavi mi naona ukimtembelea nyumbani kwake....huwezi kuondoka bila kutafuna kabawa au hata kipaja cha kuku.....huyu bwana ni mkarimu sana.....
 
Last edited by a moderator:
Huyu Arushaone sio mchezo! Huwa anatowa like thread yooote! hahaha! Nimebahatika thread tatu zoote katowa like post zote, like zake huja kama mvua vile...

Arushaone, hongera sana kwa moyo wako tajiri wa kutoa. Inaweza onekana kama mzaha but this says a lot about you. Na comment zako chache na brief inaonesha ni mtu wa furaha wakati wote.

Hizi pongezi naomba pia zimuendee na Mamndenyi, huyu auntie kwa 'like' nae sio haba! Lol! Nichukue na hii nafasi pia kumpongeza Katavi kwa kukaribisha... Mkuu wew ni mkarimu saana.... Hongera sana kwa moyo wako huo.

Nitowe pongezi pia na kwa Mtambuzi kwa story zake za kukosha, bila kumsahau baba watoto Kaizer kwa bidii yake ya kuoa na kuongeza idadi ya wake na washiriki wote waliosimama hasa... Kwa muktadha huoa natuma salamu kwa gfsonwin, mwaJ, mwalimu wake Madame B na snowhite bila kumsahau my niece Mwali. Love to you all...

My sweet wifi sweetlady pamoja saana!

Yaani wifi huyu Arushaone ni kiboko yao lol.......afu nani kakuruhusu kutuma salamu hapa?
 
Last edited by a moderator:
Nakubaliana na wewe Preta... Ukarimu wa Katavi hauwezi ku fake itakuwa na kwake ako hivo hivo... Huwa anafurahisha sana.

Ni kweli wifi .....huyu Katavi jukwaa la utambulisho linasema yote juu yake.....sio mchezo kukaa na kupokea mabegi ya wageni wote wa jf......kama haitoki moyoni mwako lazima ikushinde tu! Hongera Katavi uendelee na moyo huo huo wa ukarimu!
 
Last edited by a moderator:
Aisee Arusha one namkubali sana hata mm kanigongea like za maana mpaka nilishangaa mwenyewe..

Tatizo la most of us ambao hatutoi like sio kwamba tunapenda kutotoa like, ni kwasababu tunatumia simu muda mwingi...mf kama mm ninakitu kama wmwezi sijatumia pc .

Ila Arusha one you owe my like..
 
Last edited by a moderator:
Arushaone kamuiga Erickb52 sijui yupo wapi wadada wa mwanza watakuwa wameshikilia naniliu modem yake hongera mzee wa arachuga
The secretary Mwaaaaah kwa kutumia vizuri medula oblangata yako. Arushaone hongera endelea kuwakilisha jiji langu sweetlady miss u sana shemito, salamu zangu kwa nitonye mi nawakaribisha Bishanga Smiling Saint Mentor watu8 St. Paka Mweusi YNNAH wakati ndio sasa mtu chake Judgement Yummy na mumewe Mr Rocky Madame B na mumewe ruttashobolwa waje kumpa like huyu Arushaone.
Mwisho nakuomba sweetlady umfikishie salamu Amyner mwambie nampenda sana kuliko Remmy na The secretary
 
Last edited by a moderator:
Aisee Arusha one namkubali sana hata mm kanigongea like za maana mpaka nilishangaa mwenyewe..

Tatizo la most of us ambao hatutoi like sio kwamba tunapenda kutotoa like, ni kwasababu tunatumia simu muda mwingi...mf kama mm ninakitu kama wmwezi sijatumia pc .

Ila Arusha one you owe my like..

tedo umesema kweli. hata me wakati natumia pc ckuma mchoyo wa like. bt nw days natumia simu. wapendwa naombeni mnîsamehe bure.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom