Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walimu aliyepata waraka huo tunaomba atuwekee hapa tujue haki zetu, tunapo anza kazi.
Walimu aliyepata waraka huo tunaomba atuwekee hapa tujue haki zetu, tunapo anza kazi.
Nipe muda hope kesho ntaufuata CWT labda wanizingue
M2 wangu wanazingua ukienda unaonekana mwanga! ckukatishi tamaa we nenda 2 kacheki.
Wanasemaje mwanangu? Nipe dokezo mana kesho nataka niende huko
Wanasemaje mwanangu? Nipe dokezo mana kesho nataka niende huko
Me nilienda cwt wakaniambia bado hawajaupata cjui ni kweli au la...yakaambatana na maswali kibao yacyohusiana na waraka mfano umetoka wapi? unautaka wa nini? nk
Me nilienda cwt wakaniambia bado hawajaupata cjui ni kweli au la...yakaambatana na maswali kibao yacyohusiana na waraka mfano umetoka wapi? unautaka wa nini? nk
nipe muda hope kesho ntaufuata cwt labda wanizingue
safi! Nasikia hata mashuleni unapatikana.
Halafu mkuu mambo yetu yale vp? Umepangwa wapi mwanangu?
Kaka, mie nimesitisha kwanza mambo yetu ila mpango uko palepale, nimepangwa Rungwe-mbeya.
Hvi mmeisha jua mnalipwa mshahara wa sh ngapi enyi walimu wapya?
Mkuu hawajakutoa chochote (usijali kwa kuwa labda ni mkazi wa hapo jiji, mimi nilitoka mbali,
wale people wa cwt makao makuu wako peace sana,
wanapokea na kusikilza vizuri sana,
Pole na mitihani mkuu kama cjakosea,kwa maelezo ya awali Basic Salary ni kama 46900 na take home inafika kama 402000 kuna uzi mmoja mdau alileta humu ndani ulieleza hayo