Jamani Wachagga mbona mnatutesa hivi hapa Ubungo Terminal?

Kwa masikitiko makubwa sana sisi Wasafirishaji wa hapa Ubungo Terminal tunapenda kutoa ' lawama ' zetu kubwa na za dhati kabisa kwa hawa Wachagga hasa kwa kitendo chao cha ' Kikatili ' kabisa cha kuamua rasmi kuwa msimu huu wa Siku Kuu za mwisho wa mwaka hawatosafiri tena kama kawaida yao kwenda Kwao Mkoani Kilimanjaro ( Moshi ) kuhesabiwa kama ilivyozoeleka kwa miaka takribani 50 iliyopita.

Wengine tulishachukua hadi ' mikopo ' na kununua ' Mabasi ' ili tuwasafirisheni kwani tunajua kuwa mwezi huu huwa hambaki Dar na nyote hurudi kwenu Hedaru, Same, Sanya Juu, Kiboroloni, Siha, Hai, Rombo, Marangu, Mweka, Mwanga, Usangi na kote kote huku wengine ' tulijiongeza ' na hadi kununua ' Bajaji ' na ' Pikipiki ' ili tuweze pia kuwasafirisheni wale ambao mtakuwa mmechelewa kwenda ' kuhesabiwa ' lakini hali sasa imebadilika na inaonekana ' tutaumbuka ' sana na kuingia ' hasara ' kubwa.

Kwa niaba ya Wafanyabiashara ya ' usafirishaji ' tuliopo sasa hivi hapa Ubungo Terminal naomba kuwaulizeni ' Wachagga ' wote popote pale mlipo kuanzia humu humu JF Je ni kitu gani ' kimewakumba ' hadi sasa mnaonekana mmekuwa ' wagumu ' kusafiri kwenda kwenu Mkoani Kilimanjaro ( Moshi ) kama ilivyozoeleka na ilivyo kawaida yenu? Tatizo ni nini?

Tafadhalini Wachagga naomba mnijibu haraka na sasa hivi ili nami niweze kuwajibu ' Wasafirishaji ' wenzangu sasa hivi hapa Ubungo Terminal kwani kuna wengine sasa hivi wameenda hadi kuwekeza kutaka kununua yale ' matoroli ' aina ya ' Maguta ' ili tu na wao waje kuwasafirisheni kwenda kwenu kwa kuwasukumeni kutoka Dar hadi Kilimanjaro hivyo majibu yenu yatatusaidia wengi ambao ' tulijiongeza ' katika kuwekeza katika kuwasafirisheni mwezi huu wa December.

Natanguliza ' shukurani ' zangu kwenu Wachagga wote!
Tutatumia bombadier zetu kwanza ni rahisi sana hahaha
 
Kipaji cha kumeki ambaye hataenda ni kwa sababu zake tu ila hamna kilichoharibika njoo tar15.......utuambie
 
Ni kwamba kwa sasa hawatasafiri kwa kutumia usafiri wa umma tena!
Wengi wao wamejiongeza na kununua magari yao binafsi na ndiyo watakayosafiri nayo kwenda kwao!
Wamechoka figisu za kila wakati za kupandishiwa nauli!
Hivyo tutegemee kupungua kwa magari hasa ya watu binafsi mwezi huu hapa mjini...
 
Kwa masikitiko makubwa sana sisi Wasafirishaji wa hapa Ubungo Terminal tunapenda kutoa ' lawama ' zetu kubwa na za dhati kabisa kwa hawa Wachagga hasa kwa kitendo chao cha ' Kikatili ' kabisa cha kuamua rasmi kuwa msimu huu wa Siku Kuu za mwisho wa mwaka hawatosafiri tena kama kawaida yao kwenda Kwao Mkoani Kilimanjaro ( Moshi ) kuhesabiwa kama ilivyozoeleka kwa miaka takribani 50 iliyopita.

Wengine tulishachukua hadi ' mikopo ' na kununua ' Mabasi ' ili tuwasafirisheni kwani tunajua kuwa mwezi huu huwa hambaki Dar na nyote hurudi kwenu Hedaru, Same, Sanya Juu, Kiboroloni, Siha, Hai, Rombo, Marangu, Mweka, Mwanga, Usangi na kote kote huku wengine ' tulijiongeza ' na hadi kununua ' Bajaji ' na ' Pikipiki ' ili tuweze pia kuwasafirisheni wale ambao mtakuwa mmechelewa kwenda ' kuhesabiwa ' lakini hali sasa imebadilika na inaonekana ' tutaumbuka ' sana na kuingia ' hasara ' kubwa.

Kwa niaba ya Wafanyabiashara ya ' usafirishaji ' tuliopo sasa hivi hapa Ubungo Terminal naomba kuwaulizeni ' Wachagga ' wote popote pale mlipo kuanzia humu humu JF Je ni kitu gani ' kimewakumba ' hadi sasa mnaonekana mmekuwa ' wagumu ' kusafiri kwenda kwenu Mkoani Kilimanjaro ( Moshi ) kama ilivyozoeleka na ilivyo kawaida yenu? Tatizo ni nini?

Tafadhalini Wachagga naomba mnijibu haraka na sasa hivi ili nami niweze kuwajibu ' Wasafirishaji ' wenzangu sasa hivi hapa Ubungo Terminal kwani kuna wengine sasa hivi wameenda hadi kuwekeza kutaka kununua yale ' matoroli ' aina ya ' Maguta ' ili tu na wao waje kuwasafirisheni kwenda kwenu kwa kuwasukumeni kutoka Dar hadi Kilimanjaro hivyo majibu yenu yatatusaidia wengi ambao ' tulijiongeza ' katika kuwekeza katika kuwasafirisheni mwezi huu wa December.

Natanguliza ' shukurani ' zangu kwenu Wachagga wote!
Mukulu anafarijika akiona watu wanaishi kishaitwani
 
Aisee hawa jamaa wameona mambo nimagumu,
Sasa wameona nauli ya kwenda na kurudi bado gharama za matumizi,
Kisha kwa mbali wakaiona JANUARY
Wakavuta picha wanafunzi kwenda shule ada si chini ya M
Wakasema ngoja tubaki tutaenda mwaka kesho,
Aisee ngoja nibangaize kwanza..

Hahahaaaa hapo ndio utaona utamu wa kiongozi wa Miaka hii
Yelewiiiiiii,
Yesu na Maria...
 
Kwa masikitiko makubwa sana sisi Wasafirishaji wa hapa Ubungo Terminal tunapenda kutoa ' lawama ' zetu kubwa na za dhati kabisa kwa hawa Wachagga hasa kwa kitendo chao cha ' Kikatili ' kabisa cha kuamua rasmi kuwa msimu huu wa Siku Kuu za mwisho wa mwaka hawatosafiri tena kama kawaida yao kwenda Kwao Mkoani Kilimanjaro ( Moshi ) kuhesabiwa kama ilivyozoeleka kwa miaka takribani 50 iliyopita.

Wengine tulishachukua hadi ' mikopo ' na kununua ' Mabasi ' ili tuwasafirisheni kwani tunajua kuwa mwezi huu huwa hambaki Dar na nyote hurudi kwenu Hedaru, Same, Sanya Juu, Kiboroloni, Siha, Hai, Rombo, Marangu, Mweka, Mwanga, Usangi na kote kote huku wengine ' tulijiongeza ' na hadi kununua ' Bajaji ' na ' Pikipiki ' ili tuweze pia kuwasafirisheni wale ambao mtakuwa mmechelewa kwenda ' kuhesabiwa ' lakini hali sasa imebadilika na inaonekana ' tutaumbuka ' sana na kuingia ' hasara ' kubwa.

Kwa niaba ya Wafanyabiashara ya ' usafirishaji ' tuliopo sasa hivi hapa Ubungo Terminal naomba kuwaulizeni ' Wachagga ' wote popote pale mlipo kuanzia humu humu JF Je ni kitu gani ' kimewakumba ' hadi sasa mnaonekana mmekuwa ' wagumu ' kusafiri kwenda kwenu Mkoani Kilimanjaro ( Moshi ) kama ilivyozoeleka na ilivyo kawaida yenu? Tatizo ni nini?

Tafadhalini Wachagga naomba mnijibu haraka na sasa hivi ili nami niweze kuwajibu ' Wasafirishaji ' wenzangu sasa hivi hapa Ubungo Terminal kwani kuna wengine sasa hivi wameenda hadi kuwekeza kutaka kununua yale ' matoroli ' aina ya ' Maguta ' ili tu na wao waje kuwasafirisheni kwenda kwenu kwa kuwasukumeni kutoka Dar hadi Kilimanjaro hivyo majibu yenu yatatusaidia wengi ambao ' tulijiongeza ' katika kuwekeza katika kuwasafirisheni mwezi huu wa December.

Natanguliza ' shukurani ' zangu kwenu Wachagga wote!
 
Sio ninyi tu Breweries nao wanalia wanywaji nao wamegoma kunywa bia hivyo Serikali nayo inalia itakosa kodi itokanayo na kupandishwa bei ya vileo kila mwaka.
 
Back
Top Bottom