Jamani waandishii tanga mnanii

colyvas

Member
Feb 23, 2012
11
0
Sisi wakazi wa kijijii cha kichangani kata ya maweni mkoa wa tanga jumamosi iliyopita ya tarehe 3/3 tulifanya maamuzi magumu ya kumuondoa mwenyekiti wa kijiji kwakuvunnja kanuni za uongozi mbele ya wanakijiji wote na waandishi wa habari baadhi yao walikuwepo lakini kwa masikitiko makubwa hiyohabari mpaka leo haija toka kunani tangaaaaaaaaaaaaaaaa tuabarisheni jamani tunawatengea msituhangushe
 
Back
Top Bottom