Elections 2010 Jamani vipi kuhusu HALI YA AFYA YA MREMA?

jamani kama mtakumbuka aliwahi kulazwa mawezi wakati wa sakata lake bungeni akachomwa sindano na akalalamika sana kuwa amechomwa sindano mbaya sijui ikoje hiyo ila
 
Ni utu uzima tu. Kwa umri wake ana bahati sio mnene. Shida ingekuwa kubwa zaidi. Mimi namuoina anazeeka vizuri tu. Tumwone lala salama yake ya ubunge atawafanyaia nini wanachi wake wa vunjo.
 
Njoo na ww tukupime kwanza kabla ya kuuliza afya ya mbunge wako. Maana nikikutizama macho yako ktk ID photo yako na hilo domo unahitaji matibabu kudadadeki wee.

Njoo tukufanyie oparation ndipo uulize afya ya bosi wako.:bowl:
kani umeambiwa ana jipu?
 
Bwana Mrema ana ugua ugonjwa unaoitwa UKOWAFE ( Ukosefu wa Fedha). na pia Kisukari pamoja na ugonjwa wa ngozi. Yote haya yanatibika. Tiba ya Kwanza ni kuwa na chanzo cha uhakika cha Fedha. Hilo limepata ufumbuzi kwa kuingia mjengoni. Lakini kuna tetesi kuwa Mkulu anamteua kuwa Waziri ulaji tena. Hilo la Kisukari na Ngozi atakunywa Aloe vera gel na Food supplements Kibao; Nakwambia baada ya Miezi sita utashanga kuona MREMA au Mzee wa Kiraracha anakuwa kijana. Hizo suti zitamkaa. We acha tu. Mzee wa watu ameteseka sana ndio maana ameamua kurejea CCM kupitia mlango wa jikoni. Je kuna aliyemsikia akimpigia Kampeni Mgombea yeyote wa TLP? Hapana. Sasa hapa ujue kuna jambo. Siasa ni Mtu kula.
Reply With Quote
ha haaaaaaaa ha haaaaa...................teh teeehe teeeeeeeeeeehe
 
Back
Top Bottom