Jamani, uzuri wangu hadi sijipendi

wana jf naombeni ushauri yanikila nkipita psiiii psiiii hata nkiwa nadive na wnaonsumbua wame za watu kisa figa na uzuri
nifanyaje

Njoo katika ofisi zetu za ushauri na nasaha zilizop hapo jijini Arusha ili tukushauri nini cha kufanya. Au ni PM nikuelekeze jinsi ya kutupata
 
ni nani aliyekwambia wewe ni mzuri?
weka picha hapa tukuambie kama wewe ni mzuri au la?
si unajua beauty lies in the eyes of the beholder,
 
Umri umekutupa mkono ndiyo sababu.
Kweli, nna 34 now.
Bt thank God I look 10 years younger, ht ww ukiniona leo utafkiri labda niko kwenye early 20's.
Hata ivo hayo ya psiiii yashapitiwa na wkt, otherwise labda iwe km walivosema wengine hapo juu inategemea unakamata matawi yepi, km ya juu sn ivo vitu hamna bana
 
embuuu wekaa picha yako tujue huo uzurii wako ukojeee?maana wawezaa kuwaaa mzuriii wa nguo
 
wana jf naombeni ushauri yanikila nkipita psiiii psiiii hata nkiwa nadive na wnaonsumbua wame za watu kisa figa na uzuri
nifanyaje

Kwa kukusaidia tu, Pssss si kwa wadada warembo. ungekuwa mzuri wangekuogopa. unaonekana changu, pengine mavazi unayovaa yanakufanya uwe cheap.
try better respectable dressing hutasikia pssss tena
 
wana jf naombeni ushauri yanikila nkipita psiiii psiiii hata nkiwa nadive na wnaonsumbua wame za watu kisa figa na uzuri
nifanyaje
Weka picha hapa nani kakambia kuwa we ni mzuri?
Kupigiwa psiii si kila mwanamke anapigiwa haswa wasiojiheshimu kwenye mavazi.
Weka picha tukupe maksi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom