Jamani Uswahilini kuna VITUKO, LOLZ

Kulikon hvi tena,au mrembo kakamatwa kwa uwizi wa waume za watu!duh pole mrembo
 
Dah,haya mambo ni mabaya sana.Tatizo hapo akili huwa haipo.baada ya hapo ndio wanaanza kujuta baada ya kuumizana au kupelekana kwa pilato.Tujaribu kuzizuia hasira zetu kuepusha mambo kama haya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom