Jamani ushauri mamkwe wangu

kisesa

Member
Apr 30, 2011
88
12
jamani nipe ushauri, mamkwa kila wakati anachukua fedha kw mke wangu, nae mke wangu hanambiii kama kampa mama yake fedha ni hadi hapo tukifanya balance nakuta upungufu ndo wife wangu husema hoo mama atarudisha lakini wapi,
sasa majuzi nilimpasulia live mamkwe kwa ukali sitaki aje kwangu.
na mume wa mamkwe ni mhasibu ktk BANK
 
jamani nipe ushauri, mamkwa kila wakati anachukua fedha kw mke wangu, nae mke wangu hanambiii kama kampa mama yake fedha ni hadi hapo tukifanya balance nakuta upungufu ndo wife wangu husema hoo mama atarudisha lakini wapi,
sasa majuzi nilimpasulia live mamkwe kwa ukali sitaki aje kwangu.
na mume wa mamkwe ni mhasibu ktk BANK[/QUOTE]

So what?
 
jamani nipe ushauri, mamkwa kila wakati anachukua fedha kw mke wangu, nae mke wangu hanambiii kama kampa mama yake fedha ni hadi hapo tukifanya balance nakuta upungufu ndo wife wangu husema hoo mama atarudisha lakini wapi,sasa majuzi nilimpasulia live mamkwe kwa ukali sitaki aje kwangu.na mume wa mamkwe ni mhasibu ktk BANK
mmh! au unataka ajira kwa bank anayofanyia mume wa mkweo??
 
shamba la bibi. mkuu unaziacha nyingi za ziada ndio maana anapata na za kumpatia mama mkwe. acha hela za matumizi husuka. kama anahusika kutunza fedha za miradi au biashara basi zingatia budget. kama kweli mama mkwe ana genuine issues sio mbaya kumpa ila ni vema wife akakushirikisha...ila kama anachukua kwa vile aliona kitenge kizuri aah hapo sio. ongea na waif mweleweshe tuu. kugombana na mama mkwe sio muafaka..kwemye makosa hapo ni mai wako wako.
 
sioni tatizo ukimsaidia mkweo hapa na pale, mradi kuwe na taarifa, na si kujichukulia pesa vile apendavyo. Zungumza na mkeo.

mkeo anafanya kazi gani? hebu mtaftie kibiashara kimuingizie kipato aweze kusaidia kwao. hata kama baba mkwe anafanya kazi benki unaweza kukuta haitunzi familia yake na msaada wa mama ni kwa bintiye.
 
Back
Top Bottom