Elections 2010 Jamani uko wapi utabili wa Sheikh Yahya?

bojuka

Senior Member
Sep 9, 2010
128
1
Nilisikia kuwa baada ya uchaguzi kuna mgombea urais atakufa
waandishi wa habari wathibitisha haya . Kama sio kutisha watu wasigombee ni nini?
 
Yule mzee Kichaa yule, nadhani amekosa pesa ya kulipa MAJINI YAKE sasa yametia mgomo, ndo maana anabaki ku bwabwaja tu pumba.
 
Hivi ni kweli eti jamaa ana betri kisaidia moyo au maneno ya watu tuu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom