Jamani ubuntu 11.04

Puza

Senior Member
Dec 11, 2010
106
12
Wadau mu hali gani?

Niliwahi kuuliza hapa jamvini kuhusu tatizo la ubuntu kwenye Hp pavilion dv5-2155dx yangu
kushindwa kupata option ya write click na left click.
Kwa kuwa nilikuwa nimeinstall ubuntu 9.04 mdau mmoja alinishauri nibadilishe version ya ubuntu kwani hii laptop inatumia synaptic pad ndo maana huwenda inaleta tatizo hilo pia alinishauri niweke ubuntu 11 nimehaha kuisaka mpaka hatimae nimeipata na kuiinstall ila naona tatizo bado linaendelea na pia nashindwa kuconnect na built in modem.Tafadhali naombeni mnisaidie ntatatuaje tatizo hili?
Pia ningependa kupata connection manager window itayoniwezesha kumanage modem kama kuongeza salio,kucheck balance na kujiunga na vifurushi nikiwa ktk ubuntu
Ni hayo tu wataalam.
 
u have to be patient and if you want to take ubuntu to replace windows then you are wrong, take your time and go through ubuntu forums report your prob and pple mayhelp you
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom