Right now we should be thinking about a united East Africa, obsessing on this borders is what has led all our countries into poverty and over exploitation by the west and now the Asian and Arab worlds. Africa needs unity, not blokes who peddle lies and half truths to incite the mass into hating other people. Kenya as a country will definitely root for itself when advertising on tourism in a competitive industry, it will seek its own interest and not its neighbor whom they share almost the same tourist attractions. Its disheartening to see people rant for ages about something and their government doesn't take any initiative or move in to try and stop or tackle the problem that is being discussed, Tanzanians have complained for far too long on the Kenyan government insistence of Mt. Kilimanjaro being in Kenya, but there is nothing being done. Is there something they are not telling us?
Wakenya bana niliwahi kupanda ndege ya Precision Air lakini ticket imeandikwa KQ402 nilichoka
Asante sana ndugu kwa hii taarifa, e bwana watu tulikuwa hatufahamu.Wiki hii nilikuwa miongoni wma abiria ndani ya ndege ya kenya airways kutokea usa to nairobi moja ya jambo lililonikera ni vijarida wanavyogawa ktk ndege zao na ktk vituo vyao vya utalii huko usa vingine vimeandikwa eti mlima kilimanjaro upo kenya! Na hivi vya ndani ya ndege vinadai eti upo tanzania lakini unaonekana vizuri ukiwa upande wa kenya infact sikutaka kujua kama ni kweli kilichonikera nikwamba wanajitahidi kila kukicha kujikosha,kujiambatanisha na sifa za mlima kilimanjaro hata ktk vijarida vyao huwa hawataji kuwa huo mlima upo tz wao hutaja ni mlima mkubwa africa na unaonekana vizuri ukiwa mbuga ya kwao ya amboseli!
Infact hii sio mara yakwanza kwa wakenya kudanganya kuhusu mlima kilimanjaro ipo hivi kwa sisi watu tulio jirani na system nikwamba miaka ya sitini na sabini chini ya uongozi wa jomo kenyatta kenya waliunda tume ya kuudai mlima kilimanjaro urudi kwao(kupanuliwa mpaka) kama ilivyo awali enzi za mkoloni wakasahau kuwa kilomita 15 za pwani yote ya east africa kutokea kingo za bahari kwanzia mtwara hadi somalia ni mali ya sultani wa zanzibari kitu ambacho kinameza mombasa yote na miji yao mikubwa ya pwani kuwa ardhi ya zanzibar! So babu mchonga meno akawaambia fine tutawarudishia mlima wenu kilimanjaro nanyie warudishieni zanzibar kilomita zao 15 za pwani yenu! After jibu hilo tume hiyo iliahidi kurejea tena dar kwa mazungumzo zaidi na haijarejea hadi leo! So wakaanza kuishawishi zanzibar ijitenge na tz imean muungano uvunjike then zanzibar leter on ijiunge na kenya ili ramani ya mkoloni ijirudie wkt znz ikiwa kwao wakawahonga na kuwashawishi wanasiasa wajinga flani na zanzibar wakaanzisha chokochoko za kujitenga mwaka wa 2000 baada ya uchaguzi lakini kwa ushupavu wa fisadi mkapa akapeleka vikosi vya makomandoo zanzibar usiku then wkt wa maandamano ya cuf wao waliwaagiza polisi wasizuie waandamanaji ili wao wakiwa miongoni mwao wawajue na kuwamaliza kikomandoo zaidi lakini polisi sijui hawakufuata au walisahau hayoo maagizo kitu ambacho ikapelekea polisi wengi kuuwawa na makomandoo wa jwtz kimakosa na rai kibao nao kuuwawa infact hadi boti ya vijana waliokuwa wanakimbilia mombasa ilizamishwa na helcopta ya polisi so kenya wakashindwa!
Siku za hivi karibuni baada ya kuingia weak prezdaa huku tz wakenya wamesoma alama za nyakati na wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuwatia ujinga wazanzibar kutaka kuuvunja muungano na kuwa na taifa lao thats y wanadai kimkoa chao kila kukicha infact hakuna aliyewahi kuuona muungano ila watu wachache kama pinda ambaye alisema kimsingi zanzibar ni mkoa kitu ambacho huwezi kumbishia kwakuwa hatujui karume alisainishwa nini na nyerere pale ikulu infact pinda anajua!
Infact wakenya wamefanikiwa sana kubomoa uchumi wa tz kwakuchapisha noti feki za shilingi ya tanzania! Wakati ukabila kwao unawatafuna wanataka na sisi tutafunane kwa udini wamejitahidi kuwatumia mashekh wachache wakiislam kuaanza kupandikiza mbegu ya udini kutaka kuonyesha eti waislam wanatengwa na kubaguliwa tz!
Mimi ni muislam sijawahi kubaguliwa popote kwa dini yangu humu tanzania,kwao hakuna ardhi ya kulima wala kufuga ardhi yote kwao inamilikiwa kikabila
infact wabongo kuweni makini na hawa wandugu wao kuuana na kubaguana kikabila maofisini ni kawaida wote tuliona baada ya uchaguzi wao miaka michache iliyopita
mungu ibariki tanzania na bariki muungano uendelee kudumu daima milele
Ni kweli tatizo hilo kwa kenya kutangaza resources za tz kwamba zipo kwao lipo na ni la muda mrefu sana. mimi mwenyewe nilipata shida sana canada nilipokuwa nafanya tanzania country presentantion nilipoeleza kwamba mlima kilimanjaro , na tanzanite ni moja ya resources za tanzania, wazungu walishangaa sana wakasema walijua vipo kenya. lakini hata hivyo hawatatuweza tena wamechelewa.