Jamani tunamtafuta Rejao, Ritz... Wako wapi leo?

STEIN

JF-Expert Member
Aug 29, 2010
1,770
553
Hawa wazee wanaopata viinua mgongo kutoka CCM leo wako wapi? Mbona kila Post siwaoni au wamekatiwa uduma ya Airtime?????

Waache kupotosha umma wa waTZ imetosha kuifilisi hii nchi wenyewe wameshtuka...

Nadhani leo hawajapata mgawo kutoka kwa bosi wao..

Tume washika pabaya walichonga sana
 
Ritz atakuwa yupo zake Dar Live na She-gongo- anachukua hesabu yake ya wkend baada ya kuona majukwaa ya jf leo ya mtoto na hayakaliki hata kwa kujifichaficha!!
 
Asante, KK

Yaani hawa watu wametafutwa majukwaa yote, kuanzia chit chat, jukwaa la wakubwa hadi siasa.
Inachosha mwishowe.

Basi sasa chadema inatosha,mmeshinda ubunge wa arumeru tu sio wa nchi nzima......!
 
Hawa wazee wanaopata viinua mgongo kutoka CCM leo wako wapi? Mbona kila Post siwaoni au wamekatiwa uduma ya Airtime?????

Waache kupotosha umma wa waTZ imetosha kuifilisi hii nchi wenyewe wameshtuka...

Nadhani leo hawajapata mgawo kutoka kwa bosi wao..

Tume washika pabaya walichonga sana
Rejao jana usiku alikuwa akifuatilia matokeo kutoka vituoni, ilipofika saa nne akaone upepo ni mbaya akaaga kwenda kulala. Sidhani kama ameshaamka tayari maana huenda aliota ndoto mbaya kuhusu magamba kugalagazwa.
 
Walishazoea matokeo yanachakachuliwa ndiyo wanajitokeza kuzoza humu!!! Tatizo hawajui kuwa kuchakachua kuna mwisho wake........... Hata MMD Zambia, KANU Kenya........ walichakachua mpaka iliposhindikana wakasalimi amri.
 
Hawa wazee wanaopata viinua mgongo kutoka CCM leo wako wapi? Mbona kila Post siwaoni au wamekatiwa uduma ya Airtime?????

Waache kupotosha umma wa waTZ imetosha kuifilisi hii nchi wenyewe wameshtuka...

Nadhani leo hawajapata mgawo kutoka kwa bosi wao..

Tume washika pabaya walichonga sana

Wamejificha wakitafakari gear ya kurudia. Wamegundua ni vigumu kupanda mlima kwa gear no. 5! Walijaribu "mlima meru" imekula kwao.
 
Hakuna alie kimbia, wengine wako kifungoni,tunasubiri ban inyanyuliwe turudi kwenye mpambano, naona mlishasahau kuwa juzi juzi tu tulichukua majimbo mawili na wala hatukujisifu kama nyie.

Anyways,hongera cdm kwa kuongeza mpiga kelele mwingine bungeni
 
Ritz alikuwepo angalau yeye alijakakamua kidogo na akatoa pongezi,ila baadae akakimbilia JF DOCTOR,hao wengine nafikiri wako I.C.U
 
Back
Top Bottom