Jamani tumsaidie msanii SAJUKI

jumbenylon

Senior Member
Jun 12, 2011
115
10
attachment.php

Nawaomba sana Watanzania, Tumsaidieni ndugu yetu msanii wa filamu SAJUKI anaumwa sana na anahitaji kwenda kutibiwa INDIA mapema iwezekanavyo!!

Waweza kumchangia kupitia AKIBA BANK Account number 050000003047 Jina la mwenye account ni mkewe WASTARA JUMA au M PESA Number 0762189592. Asanteni sana, Tumuombe na Kumshukuru Mungu kwa kila Jambo!

Kwa mujibu wa ndugu wa karibu wa Sajuki anasema kuwa Sajuki alikuwa akisumbuliwa na tumbo yaani kama vidonda vya tumbo lakini ukiupata huo asili yake au dalili zake zinakuwa kama unaumwa kansa, na ndio maana kwetu watuwezi utibu huo ugonjwa ni mpaka INDIA. Anasema alikuwa anasumbuliwa mda mrefu.

PAMOJA WE CAN

Tuoneshe upendo!
 
Serikali ilitoa Millioni 10 kumzika Dead Body Steven Kanumba nadhani kwa sababu huyu yuko hai Serikali inaweza kutoa millioni 20 kabisa, cha msingi muhusika aonane na Nchimbi kama atarudi kwenye Wizara ile ile.
 
jb na team yake sijui iko wapi?? huu ndio haswa wakati wa wao kuchanga, na kututangazia hatua kwa hatua nini kinafanyika katika kuhamasisha wananchi wachange! ila wao wamekaa wanangoja kinuke! WALAAH WASHINDWE! Mdau tupo pamoja tunamuombea na binafsi yangu naahidi kuchanga!
 
tuko pamoja ktk swala na mchango pia,nawasihi watanzania wenzangu tusaidiane kuokoa maisha ya mtanzania mwenzetu.
 
jb na team yake sijui iko wapi?? huu ndio haswa wakati wa wao kuchanga, na kututangazia hatua kwa hatua nini kinafanyika katika kuhamasisha wananchi wachange! ila wao wamekaa wanangoja kinuke! WALAAH WASHINDWE! Mdau tupo pamoja tunamuombea na binafsi yangu naahidi kuchanga!

Nimeona picha yake aisee ni kweli jamaa yupo kwenye critical condition kama una moyo mwepesi lazima chozi likutoke,ila kamati ya kina JB isitie pua hapa wasije wakazila hizo hela.
 
Kina jb na kamati yake wanataka afe ili wavae suti na miwani meusi wakisema alikuwa mchapa kazi sana
 
anajua kuigiza sana sema hakupata ''umaarufu uyoga,'' kesho fasta swadaka yngu nilotaka ipeleka masjidi ntamchangia jamaa yetu na insha a llah Mungu yu mwema 'atamuafu'
 
jb na team yake sijui iko wapi?? huu ndio haswa wakati wa wao kuchanga, na kututangazia hatua kwa hatua nini kinafanyika katika kuhamasisha wananchi wachange! ila wao wamekaa wanangoja kinuke! WALAAH WASHINDWE! Mdau tupo pamoja tunamuombea na binafsi yangu naahidi kuchanga!

Kama kawaida, si unajua kuchangia msiba ni rahisi kuliko kuokoa uhai?
labda wanasubiri kuitwa kwenye makati ya ......:embarrassed1:
 
Masanja jana kahamasisha watu wamchangie, viongozi wote walio hudhuria mcba wa kanumba
 
Michango inaendelea clauds tv na redio kweli ma tz wana moyo wa kuchanga.
 
SAJUKI.jpg
sajuki1.JPG

Ndugu zangu Watanzania popote mlipo ulimwenguni tunaombwa kuisaidia familia hii kwa hali na mali kwa jinsi Mungu atakavyotubariki ili waweze kujikimu na maisha yao ya kila siku ikiwa ni pamoja na kupata pesa za matibabu ya Sajuki yanayotarajiwa kugharimu kiasi cha shilingi milioni 25 za kitanzania.
Kama utaguswa kwa namna yoyote ile unaombwa kutuma mchango wako kupia akauti ya benki ya Wastara au kwa m-pesa kwa namba nitakazozitaja hapa chini.
AKIBA COMMERCIAL BANK, ACC NO. 050000003047, WASTARA JUMA
AU
KWA M-PESA NO. 0762 189592
Asanteni sana kwa ushirikiano wenu Mungu awabariki na azidishe kila mtakapopunguza.
 
Tutachangia inshalah ,japokuwa nafahamu kuwa kutoa ni moyo ,ningejisikia vizuri zaidi wasanii wenzake wangelibeba hili jukumu ,kwani kwa taswira waionyeshayo ya umiliki wa mali na anasa ziwazungukazo nafikiri wanaweza kumsaidia mwenzao ki rahisi.
 
Ili kumchangia Sajuki fedha kwa ajili ya matibabu, unaweza kutuma mchango wako kupitia simu ya mkononi kwa kutuma kwenye Tigo Pesa namba 0713 666 113 au kwenye akaunti namba 050000003047 katika Benki ya Akiba Commercial yenye jina la Wastara Juma Issa.
 
kinubi
Asante kwa taarifa hii, watz tuwasaidieni wana familia hii ya Sajuki.
 
Last edited by a moderator:
Mnajuwa watu wengine mnachekesha kweli, hapa inatakiwa utowe wasifu japo kidogo au profile ya mnaemuombea mchango pamoja na picha, sasa unadhani kila mtu hapa anamjuwa huyo Sajuki? mfano mimi binafsi movie zangu zote kwenye home Library yangu ni za Holywood sasa huyo Sajuki mimi nitamjulia wapi?
 
Mnajuwa watu wengine mnachekesha kweli, hapa inatakiwa utowe wasifu japo kidogo au profile ya mnaemuombea mchango pamoja na picha, sasa unadhani kila mtu hapa anamjuwa huyo Sajuki? mfano mimi binafsi movie zangu zote kwenye home Library yangu ni za Holywood sasa huyo Sajuki mimi nitamjulia wapi?[/QU umeonaeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom