Jamani tumsaidie Kikwete, anapotupeleka sipo

MBURE JASHA

JF-Expert Member
May 7, 2011
200
46
kwa wanajamvi wote! nilikuwa napitia thread mbalimbali za wanajf. kuna vitu nimevikuta mwenyewe nikachoka kuna aliendika kuhusu Gazeti la Kenya,kuna anayesema kuwa analindwa na maruhani yote ni kweli tupu. Lakini naomba muangalie picha hii halafu mniambie kuwa HUYU NDIE RAISI MWENYE HADHI YA ASILIMIA 61 YA KURA ZA WATANZANIA

carelessness.jpg
 
Hii ilishakuwepo hapa. hebu endelea kutafuta kwenye hizi threads utaikuta na ilishajadiliwa!
 
Back
Top Bottom