Jamani tumbo linanitoa roho jaman

we nae matani mengi.. but kusema kweli madame b sio mtu ye alikua anafurahi tu alafu eti anani pm kua kazi yake imeisha..

Mungu anakuona ujue Junior. Cux.
Usinitangazie ubaya kwa Boy wangu.
Me ndo nilikuwa nae bega kwa bega mpaka akatolewa Hospitalini.
Duh! Ebwanae!
 
Last edited by a moderator:
Wakubwa!
Kuanzia Jumamosi nilikua na kihoma chepesi,nikampigia mchumba wangu aje anifariji lakini akanitosa!
Kwakua nimeanza ruhusa ya masomo J3 sikwenda kazini,ilipofika saa 3 asbh ghfla tumbo likauma sana maumivu makali mno,ili kujua nin huduma ya kwanza nikaingia jf doctor,mara kimya,nikaja chitchat,nakumbuka niliweza kusoma post moja tu ya charminglady nikapote nguvu kabisa mwilini,nikaanza kusali lakini wap,nikaanza kupoteza nguvu nikawastua madogo watafute usafir fastar kwani hali ilikua mbaya zaidi,nikapoteza fahamu hadi saa 10 jioni nilipojikuta nipo rugalo hosp,Namshukuru Mungu sasa nipo nyumbani naendela vizuri.Ombi langu wana Chitchat tuwe serious na taalifa zingine kwani post nilizozikuta kwenye thread niaibu ukilinganisha na hali ilivyokua.Ni aibu kwa wale wote ambao wana hata number yangu ya cm lakn hawakuthubutu kuprove nin kinaendelea juu yangu.ahsante Mungu!

Mchumba wako ndie mwenye kosa,
kwanini asiwataarifu wana Jf wenzake?
Au unaongelea nini?
Aaarrrgghh!!!!
 
Last edited by a moderator:
Pole mkuu kwani umejuaje kama hata wana jf walikuombea. usile vitu vya baridi bana. pole wangu.
 
Pole sana shem, yani kweli hli jukwaa utani mwingi, kama ulikuwa unaumwa kweli 2samehe kwa kujibu vibaya, na 2nakuombea upone haraka urudi ulingoni, get well soon
 
ahsanteni sana kwa kuniombea,kwa sasa naendelea vizuri,namshukuru Madame B (ambaye alikataa kuja kumhudumia mgonjwa.) (true store).natoaa shukrani kwa Charmingrady,Kijino(shemeji),junir .Cux,Mamndeny,cantalisia,Erick52,plantoom,Firstlady1,cute,mwaminifu,Fixed point,.......nawengine wote ambao kwa kweli sitaweza kuwataja wote kwa sala zenu hadi hapa nilipo naendelea vizur,ahsanten sana Mungu awabariki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom