Jamani tumbo linanitoa roho jaman

pole shem, vp linakatakata kama wachina wanapigana mapanga au la pprrraaaatatatatatatata, au njaa, au ngiri katoka porini kakuingia au ..........

Kijino mamito.
Kaenda nyumba ndogo,
kalishwa nyama iliyolala.
Mwacheni alijue jiji na mataa yake.
 
Madame B. Confirmation please?

Mmwaminifu,
taarifa nilizozipata hv punde ni kuwa jamaa ametoroka hospitali na shuka la kijani.

Tangaza kwa wana Jf wote kuwa atakaemuona mwanaume amejifunika shuka la kijani,basi akamatwe mara moja.
Ameelekea mitaa ya Salendar Bridge.
 
Hamna haja ya kutangaza. Addiction ya viroba itakuwa inamsumbua. Akishapata kama viwili utamuona hapa.
 
we Judgement unanitafuta ubaya na watu.
Naogopa kumtaja jina maana watajitokeza mashemeji kibao.
We ita tu "Shemeji yake Madame B,uko wapi?"
Nae atajitokeza punde tu.

Haya Bidada Madame, afu mbona sijajua vzr Nikahi na Jr ilifanyika au ni aje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom