Jamani tukubali, tukatae: Wahaya Waliusumbua Utawala wa Awamu ya Kwanza Miaka ya 1980s!

Tukio hili lilimgharimu na Mzee Anthony Ngaiza (RIP) japo hakujua lakini baadhi ya vikao vya mikakati ya akina Uncle Tom ilikuwa inafanyikia nyumbani kwake. Mzee Ngaiza alikuwa msaidizi wa Nyerere kwenye mradi wa bonde la Kagera.
 
I. Nimekumbuka wale jamaa walio-engineer Mapinduzi,nadhani 1983-84.. Baadaye nitaweka jina lake. "Uncle somebody" walikuwa na ma-nickname wengine kama ya Kiingereza.

II. Naomba radhi kwa kukiondoa kipande hiki.. Maana kimepatiwa majibu na kila mmoja alikuwa anarudia hapohapo tu..

Kwa kiasi kikubwa haikuwa issue ya wahaya ingawa Uncle Tom Lugangira alikuwa ndiyo mastermind mkubwa akitokea London ambako alikuwa anafanya biashara zake. Ukiliangalia tukio unaona kuwa lilichagizwa na askari wenyevyeo vya kati ambao walikuwa na athari za vita vya Kagera. Kwa mfano Commando Tammimu na akina Hans Pope walikiwa na sababu binafsi walizotaka kukipa kisasi.
 
Joka kuu where are you Muzee? Waweke sawa vijana bana!

Mtazamo,

..kuna matukio mengi hapa yamechanganywa.

..utekaji ndege ulifanywa na wakina Yassin Memba. ndege ya ATC ilipelekwa mpaka UK na rubani alikuwa Mazula, na mwenzake nimemsahau jina.

..kulitokea utekaji mwingine wa ndege uliofanywa na vijana wa kizanzibari ambapo ndege ilipelekwa na kutua Lodwar,Kenya. rubani wa ndege hiyo alikuwa Capt.Ngandile.

..halafu kulikuwa na jaribio lingine la kuteka ndege iliyokuwa imebeba wapiganaji wa ANC nadhani walikuwa wanakwenda Urusi. Instructor wao Kaburu alitaka kuteka ndege na kuwakabidhi wapiganaji wote kwa makuburu. Instructor huyo alizidiwa nguvu na kukabidhiwa kwa authorities za Tanzania.

..jaribio la mapinduzi lilimhusisha Thomas Lugangira au "uncle Tom" au "Uncle check bob."

..wenzake walikuwa ni Hatibu Gandi au Hatty Mac Ghee, Capt.Tamim, Cpt.Mbogoro, Cpt.Christopher Kadege, Lt.Badru Rwechungura Kajaja, Cpt.Mapunda, Banyikwa na wife, Christopher Ngaiza, Hans Pope brother, Cpt.Rodrick Rosham Robert, na wengine majina yao nimeyasahau.

..nadhani watuhumiwa wote idadi yao ilikuwa 19, sina uhakika.

..Lugangira na Hatty Mc Ghee walitoroka rumande na kwenda Kenya. Baada ya kufika Kenya, Lugangira akatorokea Uingereza. Hatty Mc Ghee alikamatwa Kenya na kurudishwa Tanzania in exchange of Private Hezekiah Ochuka ambaye alijaribu kumpindua Raisi Daniel Arap Moi.

..baada ya kurudishwa Tanzania ndiyo Mc Ghee akashtakiwa na wenzake.

..Tamim ambaye alikuwa komandoo aliuawa wakati wa kurupushani za kumkamata. kwenye ushahidi wakati wa kesi yao inasemekana wana usalama walijaribu kumkamata lakini akawatoroka kwa kuruka ukuta wa nyumba aliyokuwa akiishi. wakati wakimkimbiza Tamim alidandia pick iliyokuwa imebeba masanduku ya bia na kuanza kuwarushia wana usalama waliokuwa wakimkimbiza. kitendo hicho kililazimisha wana usalama kumpiga risasi. sina uhakika kama aliouwa eneo la tukio, au alikufa wakati akikimbizwa hospitali.

..kesi ya uhaini ilikuwa inasisimua sana haswa maswali ya wakili wa utetezi aliyekuwa akiitwa Murtaza Lakha. mawakili wengine wa utetezi ninaowakumbuka ni Mucadam, Jadeja, na Tarimo.

..upande wa serikali ulikuwa unaongozwa na William Sekule, na pia alikuwepo Johnson Mwanyika. nilivutiwa sana na jinsi William Sekule alivyofunga maelezo ya upande wa mashtaka. nasema hivyo kwasababu naamini mashahidi wake walisumbuliwa sana na mawakili wa utetezi haswa Murtaza Lakha.

..kesi iliamuliwa na Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu, Jaji Nassoro Mnzavas. kuna waliohukumiwa kifungo cha maisha, wengine walifungwa miaka kadhaa, na nadhani Banyikwa na Ngaiza waliachiwa huru.
 
Asante mkuu maana maandishi yenu ni hazina kwa vizazi vijavyo na hawa wa sasa maana ni wakongwe wachache wanaotumia mitandao kama wewe! Vijana wenye kiu ya kujua historia ya nchi yenu msiyofundishwa darasani kazi kwenu!
 
Safi sana mkuu. Pia sijui ni baadhi yao au wote walikuja kuachiwa kwa msamaha na Rais wa awamu ya pili Mzee Mwinyi, katika awamu yake ya mwisho ya Urais.
 
Mimi nafahamu wahaya waliingia manzese wakaenda kuishi sehemu inayoitwa soweto......karibia na tandale baadae miaka ya tisini wakaribadilisha jina la mtaa wa soweto wakauita uwanja wa fisi ambapo vijana walikuwa wanaenda kujisevia uloda kwa shillingi 20 enzi hizo na sasa wanachaji buku mbili .....kuhusu hayo mengine mimi sifahamu mimi nawafahamu kama uloda bussiness na sasa wana matawi sehemu mbalimbali kama buguruni kwa wahaya,temeke kwa wahaya,tandika kwa wahaya na mwananyamala kwa wahaya.........ukiwa na vijicent vyako unajisevia bila matatizo
 
Dah kweli kamanda! Nilimsahau huyu Legendary wa historia hapa JF! Hivi Kichuguu na Joka kuu si mtu mmoja kweli?

Hata mimi nawapa credits kwa kweli,though sijaprove mlolongo wa habari ambazo wameonesha weledi wao..
 
Mimi nafahamu wahaya waliingia manzese wakaenda kuishi sehemu inayoitwa soweto......karibia na tandale baadae miaka ya tisini wakaribadilisha jina la mtaa wa soweto wakauita uwanja wa fisi ambapo vijana walikuwa wanaenda kujisevia uloda kwa shillingi 20 enzi hizo na sasa wanachaji buku mbili .....kuhusu hayo mengine mimi sifahamu mimi nawafahamu kama uloda bussiness na sasa wana matawi sehemu mbalimbali kama buguruni kwa wahaya,temeke kwa wahaya,tandika kwa wahaya na mwananyamala kwa wahaya.........ukiwa na vijicent vyako unajisevia bila matatizo
rudia utafiti wako hususani kwenye hizo sehemu ulizotaja juu ya akina nani wanajiuza, alafu ndo uje na hoja yako.
 
jamani mm navyofahamu ndege ilitekwa na kina member na hayakuwa mapinduzi, sawa pilot alikuwa Deo kaka yake na marehemu George Mazula, wana mdogo wao alivunjika mguu wakati G. akioa mchagga akampata mke nurse aliyemtibu mguu wake hayo tuyaache.
uhaini wa kina Tamim na wanajeshi mpango wao ulitibuliwa na mwanajeshi aliyekuwa kikosi cha Monduli Arusha (akiwa ni mtoto wa kuzaliwa wa kiongozi wa Chama, alitoa siri na baba yake kumpelekea JK Nyerere /sasa hivi mtoto huyo yupo chama cha upinzani huko kanda ya kati)
mission hiyo ikawakuta kina marando ndio waliomkamata Tamim kwenye pick-up barabara ya Kawawa Dsm mto taarifa mkuu alikuwa arawa dreva Taxi
Hapo ndi tofauti ya story hizo 2 zinazojichanganya

Asante mkuu ukwaju..
huyo Mazula wa mguu tunafahamiana,yeye na familia yake..

Akina Tamim,maelezo yote uliyotoa ndiyo niliyonayo.. Ila ungefunguka kwa jina la mtoa habari huyo na role ya Uncle Tom..
 
Tukio hili lilimgharimu na Mzee Anthony Ngaiza (RIP) japo hakujua lakini baadhi ya vikao vya mikakati ya akina Uncle Tom ilikuwa inafanyikia nyumbani kwake. Mzee Ngaiza alikuwa msaidizi wa Nyerere kwenye mradi wa bonde la Kagera.

Ndiyo hao "walengwa"... Walikuwa na idea,wakaiuza jeshini,at the same time walikuwa "comfortable financially", so funds haikuwa tatizo..
 
Kwa kiasi kikubwa haikuwa issue ya wahaya ingawa Uncle Tom Lugangira alikuwa ndiyo mastermind mkubwa akitokea London ambako alikuwa anafanya biashara zake. Ukiliangalia tukio unaona kuwa lilichagizwa na askari wenyevyeo vya kati ambao walikuwa na athari za vita vya Kagera. Kwa mfano Commando Tammimu na akina Hans Pope walikiwa na sababu binafsi walizotaka kukipa kisasi.

Asante kwa mchango..
 
Asante sana mkuu Joka kuu...

Sasa je,twaweza kuconclede "walengwa" ndiyo walimastermind,na kuliuza wazo kwa wanajeshi..?
 
Asante mkuu maana maandishi yenu ni hazina kwa vizazi vijavyo na hawa wa sasa maana ni wakongwe wachache wanaotumia mitandao kama wewe! Vijana wenye kiu ya kujua historia ya nchi yenu msiyofundishwa darasani kazi kwenu!

Hasa vijana wa "academia" hawa...
 
Mimi nafahamu wahaya waliingia manzese wakaenda kuishi sehemu inayoitwa soweto......karibia na tandale baadae miaka ya tisini wakaribadilisha jina la mtaa wa soweto wakauita uwanja wa fisi ambapo vijana walikuwa wanaenda kujisevia uloda kwa shillingi 20 enzi hizo na sasa wanachaji buku mbili .....kuhusu hayo mengine mimi sifahamu mimi nawafahamu kama uloda bussiness na sasa wana matawi sehemu mbalimbali kama buguruni kwa wahaya,temeke kwa wahaya,tandika kwa wahaya na mwananyamala kwa wahaya.........ukiwa na vijicent vyako unajisevia bila matatizo

Mzee wa "standard & speed",kama ungekuja nalo hilo hapo juu,angekwambia "hilo ni swali jipya kabisa..,Mh Waziri hatalijibu..." halafu angeendelea na mengine..
 
Historia ya mapinduzi na utekaji ndege nimeipenda as jina la memba na mapunda ambaye nimeshamuona akiwa amefungiwa kule songea si geni kwangu. I like this.
 
Yeah... Historia hizi ni muhimu kwa Taifa letu na vizazi vyake..
 
Back
Top Bottom