trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 736
- Thread starter
- #21
Na akina Uncle Tom je...
Huyu alifikia kuwa sponsor wa ile coup..
Huyu alifikia kuwa sponsor wa ile coup..
Kwa Mapinduzi . Kiongozi alikuwa Thomas Mtakumbwa Lugangira, wengine Banyikwa na mkewe, Maafisa wa Jeshi( Zacharia Hanse Pope, Mbogoro Dietrich, Mapunda V, Eugen Maganga, Christopher Chaika,Martin Musa Tamim(Commandoo), Ngaiza , Rwechungura, Rweyongeza,.....
Wengine nimewasahau
Namuona.Niliifuatilia kiasi ile kesi.
capt. Deo Mazula ndie aliendesha hiyo ndege, na yu hai., marehemu ni mdogo wake ambaye pia alikuwa rubani.Hii stori umeanzia juu juu sana mkuu, kuna wengine hatujui ilianzaje, wapi ilitekwa na ni lini ilikuwa, ilikuwa na abiria wangapi? Capt Mazula nadhani huyu alikuwa jirani yangu mwanza kama sikosei, niliwahi kumfundishia mtoto wake tuition ya hesabu miaka 12 iliyopita!
Joka kuu where are you Muzee? Waweke sawa vijana bana!
Mkuu umemsahau Kichuguu, wapi Kichuguu hapa ndo unaweza kutueleza vizuri.Wakuu Joka Kuu,Jasusi,SlidingRoof na wazee wengine waj JF ndio wanaweza kusaidia stori nzima ilikuwaje! Ktk wakongwe wa historia wanaostahili tuzo humu JF Joka Kuu na MM Mwanakijiji wanatisha sana! Lakini huu mkasa upo humu uki search utaipata.JF imeshajadili mengi mno toka 2006!
Kwa Mapinduzi . Kiongozi alikuwa Thomas Mtakumbwa Lugangira, wengine Banyikwa na mkewe, Maafisa wa Jeshi( Zacharia Hanse Pope, Mbogoro Dietrich, Mapunda V, Eugen Maganga, Christopher Chaika,Martin Musa Tamim(Commandoo), Ngaiza , Rwechungura, Rweyongeza,Chitunguli .
Wengine nimewasahau
capt. Deo Mazula ndie aliendesha hiyo ndege, na yu hai., marehemu ni mdogo wake ambaye pia alikuwa rubani.
Kumbe wahaya wanapendwa hivi
Dah kweli kamanda! Nilimsahau huyu Legendary wa historia hapa JF! Hivi Kichuguu na Joka kuu si mtu mmoja kweli?Mkuu umemsahau Kichuguu, wapi Kichuguu hapa ndo unaweza kutueleza vizuri.
Dah kweli kamanda! Nilimsahau huyu Legendary wa historia hapa JF! Hivi Kichuguu na Joka kuu si mtu mmoja kweli?
I. Nimekumbuka wale jamaa walio-engineer Mapinduzi,nadhani 1983-84.. Baadaye nitaweka jina lake. "Uncle somebody" walikuwa na ma-nickname wengine kama ya Kiingereza.
II. Naomba radhi kwa kukiondoa kipande hiki.. Maana kimepatiwa majibu na kila mmoja alikuwa anarudia hapohapo tu..
Kwa Mapinduzi . Kiongozi alikuwa Thomas Mtakumbwa Lugangira, wengine Banyikwa na mkewe, Maafisa wa Jeshi( Zacharia Hanse Pope, Mbogoro Dietrich, Mapunda V, Eugen Maganga, Christopher Chaika,Martin Musa Tamim(Commandoo), Ngaiza , Rwechungura, Rweyongeza,Chitunguli .
Wengine nimewasahau