Jamani tujulishane maana halisi ya neno Serikali kwa ujumla

Baba Jotham

Member
Mar 6, 2012
84
40
Wadau wenzangu wa jf,hivi tunapozungumzia serikali ya Tanzania,kimantiki huwa tuna maanisha nini hasa ?na hii serikali ni nini hasa na nani hasa mwenye kuimiliki hii serikali?
Kuna wanaozungumza ya kwamba ccm ndo serikali ya nchi hii binafsi na kwa elimu yangu ya madafu ya civics ya kukalili nashindwa kudadafua maana halisi ya serikal.Ccm ndiyo serikali? ccm wanaunda serikali au hii serikali ni nini hasa? wataalamu wa mambo ya siasa na uraia mtujuze
 
Back
Top Bottom