Jamani tigo wanaomba hela hata wanafunzi huku baharini aghakan shame afande mwema

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
Kana kwamba mishaharaa aitoshi sasa polisi wameamua kuendelea kutia aibu jamani..natoka kwa ofisi napita huku chini
baharini wamewakamata wanada wawili na mwanaume mmoja wamejikalia wanapata hewa huku wanawatishia kwa nini wako hapo mpaka saa hii jamani watanzania wanamuda wakukaa sehemu ya starehee loh hizi njaa
 
Polisi waamezidi njaa mpk wanatia kinyaa,mimi nilikua natoa pikpik yangu nje kutoka home kwangu kama mita3 kutoka getini kwanyumba yangu akapita polisi wapikpik akasimama akasema nimekukamata hujavaa helmet,nikamjibu kutoa pikpik ndanikuweka nje mpk helmet?nanisheria yawapi au nchigani hiyo wakati hata barabarani sijaingia?akajiumauma akasema wenzio hatujanywa chai,nikamdharau akaona aibu akaondoka,kwakweli wanatia kinyaa na aibu hizi sinjaa tena niutapiamlo wawizi.
 
twende mbele turud nyuma unahisi tatizo nini??
 
Back
Top Bottom