Ndani ya Tagged.com kuna dada ameweka pics za Tete Mariah Mallya Na anasema ni yeye anatafuta friends na yupo south Africa. Lakini hajui kiswahili ukichat na yeye na ukienda deep naye kumtongoza anataka umtumie tickets jee huyu ni yeye au ni impersonation? wana forum nipeni maoni