Jamani Tanzania...!

Jonston

New Member
Mar 17, 2012
1
0
Iv Tanzania tunaelekea wp! kama hata siasa zetu wenyewe zinatushinda? Majukwaa ya siasa sasa yamekuwa ni sehem za watu kueleza tofauti zao. Mi nadhan wanachi wanahitaji kusikiliza sera zaid ya marumbano. Wananchi wana matatizo mengi wanataka kusikia nini suluhu ya matatizo yao na si nani ni nani. Tujifunze namna ya kutatua matatizo yatu, km suala ni kupakana matope basi viandaliwe vipindi maalum au midaalo au majukwaa na si kusubiri wkt wa uchaguzi.
 
Unaowahutubia unawapima wanahitaji kusikia nini!!! Huko vijijini mwendo ni huo, utakosa kura ukijifanya mstaarabu. Ukienda chuo kikuuu then may be you will have to use a different approach> naona hivyo mimi
 
Karibu sana Jf Joston, Kiufupi ahadi zote zimeshasemwa na iliyobaki ni marudio maana hakuna hata moja iliyotimizwa hata kwa asilimia hamsini hivyo wanashindwa kuzirudia kwani zilishatamkwa mara nyingi na waliopita na kilichobaki na mipasho tu.
'Tumia kura yako vizuri'
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom